"ulisimuliwa"
"inasemekana"
kwanini usipinge moja kwa moja kama unasikia sikia maneno kutoka kwa watu, hao watu pamoja na wewe mna ushahidi usio na shaka wa maagano hayo ya SIRI au ndio mmesikia sikia ..Ndiyo "inasemekana" huwezi kupinga moja kwa moja kinachosemwa, inatakiwa ukifanyie uchunguzi kwanza kitu kinachosemwa kabla huja kipuuza.--- kwani wewe binafsi hujapata kusikia habari za "kusemekana"???.
Ndiyo "nimehadithiwa", ninavyo visa viwili achilia mbali visa makumi vya aina hiyo, kwani wewe binafsi hujapata "kuhadithiwa" visa???.
Nakuhakikishia huko kwenye ndagu ndio kwenye ule utumwa wenyewe. Tafadhali ongea na Yesu Kristo utaona kitakachotokea.Duniani huku ukiwa masikini ni mateso tu, na kudharauliwa, lakini siamini ya kwamba tumeletwa duniani kuteseka au kudharauliwa sababu ya kutokua na pesa.
Sina kazi, nimefukuzwa nyumba ya kupanga, nalazimika kuomba hela ya vocha ili nije kupaza sauti yangu huku kwenye mitandao ya kijamii kama huu, pengine ntapata usaidizi. Sitakubali kunyanyasika hivi, hivyo basi wadau.
Kama kuna yeyote atakuja kuniunganisha na mtaalam wa ndagu za utajiri nitamshukuru sana, nimedhamiria na nipo tayari. Haya maamuzi hayajaja leo bali ni ya muda sasa, hadi kusema hivi ni maji yamefikia shingoni.
Mbona wewe sasa ndio una jazbanawasema wenye jazba..kama una la msingi la kuchangia changia kulingana na mada husika sio jazba.


labda nianze kukuuliza kama utakuwa na shughuli yoyote ambayo twaweza kui boost ili iwe source ya kukupa pesa?kama umeniona nimefika hadi hapa ujue nipo zaidi ya kua tayari. karibu.
Njoo nikupe ajira dogo, kuwa na nidhamuUna uhakika gani kua ni maskini wa kutupwa, unawalisha wao? au ulishaenda kuwashuhudia umasikini wao
Utajiri huo upo ila una hitaji ujasiri wa hali ya juu , ikiwezekana kutoa sadaka maisha yako ili ufanikiwe.Utajiri wa kurithi hauna, utajiri wa zali la mentali kama betting au kuokota Tanzanite nao umeukosa.
Sasa cha msingi piga kazi sana piga kazi mno na uwe smart utatoboa.
Hakunaga utajiri wa "wataalam"
Amekwambia hana kazi...sasa unamtakiaje kazi njema?Naona mizimu ya ukoo wenu inakuambia rudi nyumbani kumenoga😅
Mkuu angalia tu usije tututoa kafara tusio na hatia maana maisha yenyewe mafupi usije tufupishia zaidi.. nikutakie kazi njema..😂
Tushafika..Ngoja waje.