Ungetafuta hao wataalamu huko usingeandika Uzi hapa.wala sijaja hapa kufikiria tena, najua gharama zake, hakuna cha kujutia
this is free forum, nina haki ya kufanya chochote na kufungua thread navyojiskia, kama wengine wanavyofanya, kutafuta waume, wake, wanaokula matunda kimasihara, wanaotafuta commection za biashara, kazi, wanaotafuta dawa, wanaoumwa, wanaokula, wanaokunywa bia, waliotembea na wafanyakazi wa ndani, wake za watu, waume za watu, wenye shida mbalimbali n.kUngetafuta hao wataalamu huko usingeandika Uzi hapa.
Duniani huku ukiwa masikini ni mateso tu, na kudharauliwa, lakini siamini ya kwamba tumeletwa duniani kuteseka au kudharauliwa sababu ya kutokua na pesa.
Sina kazi, nimefukuzwa nyumba ya kupanga, nalazimika kuomba hela ya vocha ili nije kupaza sauti yangu huku kwenye mitandao ya kijamii kama huu, pengine ntapata usaidizi. Sitakubali kunyanyasika hivi, hivyo basi wadau.
Kama kuna yeyote atakuja kuniunganisha na mtaalam wa ndagu za utajiri nitamshukuru sana, nimedhamiria na nipo tayari. Haya maamuzi hayajaja leo bali ni ya muda sasa, hadi kusema hivi ni maji yamefikia shingoni.
Oops!! Sikulijua hili..kila la kheri.this is free forum, nina haki ya kufanya chochote na kufungua thread navyojiskia, kama wengine wanavyofanya, kutafuta waume, wake, wanaokula matunda kimasihara, wanaotafuta commection za biashara, kazi, wanaotafuta dawa, wanaoumwa, wanaokula, wanaokunywa bia, waliotembea na wafanyakazi wa ndani, wake za watu, waume za watu, wenye shida mbalimbali n.k
wala mkuu, wengi hapo juu nashangaa wanakuja na jazba zao sasa siwaelewi elewi wana stress ama vipi, mimi ndio mtafutaji wao wana jazba, jambo la kushangaza kidogo. ila nimegundua usipokua na hela unakua na hasira hasira muda wote hata kitu ambacho hakina haja ya kua nacho jazba unakua na jazba nachoSema mzee uko na jazba!
Sasa hapa unajisema au unawasema wachangiaji?wala mkuu, wengi hapo juu nashangaa wanakuja na jazba zao sasa siwaelewi elewi wana stress ama vipi, mimi ndio mtafutaji wao wana jazba, jambo la kushangaza kidogo. ila nimegundua usipokua na hela unakua na hasira hasira muda wote hata kitu ambacho hakina haja ya kua nacho jazba unakua na jazba nacho
ulijuaje kuna kuua mkuu, mana mikataba ya siri kama hio ni ya watu wawili , au ni speculation tu bwana mokaze?!
"ulisimuliwa"Yasemwayo yapo, inasemekana njia mojawapo ya utajiri wa "ndagu" ni kuua.
Kuna visa viwili vya kutafuta utajiri katika njia hiyo nilihadithiwa katika nyakati tofauti-- vime involve assassinations, mbaya zaidi unasema "na lolote liwe", hiyo sio tu ni kauli ya desperation bali pia ni kauli dangerous.