maamuzi magumu ..

jamii01

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
1,974
1,400
Baada ya kuwa bongo na kukuta shida ya umeme nimeamua kurudi ughaibuni,nimefika jana tu kunamshakaji wangu mbongo ni prof.kumbe safari yote hiyo alikuwa akinisubiri nikirudi tu kwa mapumziko mafupi kwake anipe story kabla sijarudi tena bongo.

Huyu Prof. ni mbongo miaka 40,ameoa na familia pia anayo bongo,huwa tunapiga story za kila namna hata za warembo kwa sababu nirafiki yangu wa karibu sana,japo amenizidi umri kama miaka 9 hivi.sasa la jana ameniambia twende tukanunue watoto wa kilatino to spend nao for 3 hrs tu..kisha tuachane nao..gharama zote atalipa yeye.nikikataa kwenda na yeye haiendi na nikikubali kwenda na yeye anakwenda..kwa sababu hana mtu wa karibu naye sana kama mimi mie ndiyo namfichia siri zake zote na hata za farmilia yake yote huwa ananiambia

Shida ni kuwa nikikataa kwenda nitakuwa nimevuruga urafiki wetu na yeye alikuwa ananisubiri kwa mda mrefu kunishilikisha jambo lake na inaonyesha alikuwa ameplan kwa mda mrefu,pia nitakuwa mmoja wa mtu niliyechangia kualibu ndoa yake huku mkewe akiwa amejitunza kwa uwaminifu mpaka basi....
 
shida nikuwa tuanishi wote hapa kwake nyumba moja..namna ya kuzungumza naye kwa upole haweze kuelewa..ajamuna mkewe kama miezi 9 sasa unafikiri speed aliyonayo hapo ni ndogo?MANAWAKE MSIKUBALI WAUME ZENU KAA MBALI NA WEWE...ndiyo matatizo kama hayo sasa ..
 
Siku itafika utajibu wewe na hutakuwa na rafiki yako...afya yako pia sio yake!
Tafakari, chukua hatua!!
 
Nenda nae tu hutajuta ukirudi ila msisahau kutumia kinga! wadada wa kilatino si mchezo:coffee:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom