Maamuzi magumu: The biggest joke of the century

Alichofanya Lowassa ni kuwathubutisha serikali kuwa kama kweli "mnaweza kufanya maamuzi magumu tukatamateni, tufukuzeni"..

Na kama kawaida yao wakaanza kujikanyaga na takwimu za barabara, shule na upupu mwingine...badala ya kufanya kile Lowassa anajua (na kwa makusudi mazima akaamua kuwakejeli ndani ya Bunge) kamwe hawataweza...

Kwa WJM...kukuuliza tu Mzee anaonaje huu mkanganyiko uliopo serikalini kwa sasa?
 
Lowassa yupo sahihi sana wabongo vichwa vigumu kufanya maamuzi, kwa mfano PINDA tuka awe PM amefanya maamuzi mangapi magum?
Lowassa ni mchapa kazi sema ana amapungufu yake ila ni mtu wa kufanya MAAMUZI,
mfano sasa hivi Pinda analalaamika na JK analalamika na mawaziri wao wote kila kukicha ni watu wa majungu na kulalamika,
uongozi ni kufanya maamuzi magumu kama MAGUFULI alivyoanza na bomoabomoa PINDA akamzalilisha
Viongozi wetu hawafanyi maamuzi magumu... kama PINDA ndio kabisa hafai hafai upole wa kinafiki
 
FACEBOOK: by William Malecela on Tuesday, July 5, 2011 at 8:40pm[/h]

@ NEW YORK CITY-US: The biggest political joke this week, ilikuwa ni ushauri wa maamuzi magumu kwa Serikali kwa Kiongozi aliyetuingiza taifa hasara ya USD $ 170 Million kwa ajili ya umeme wa dharura wa Megawati 100 ambao haupo. Sasa cha ajabu sana ni wananchi na baadhi ya Wabunge wa CCM waliosimama na kumshangilia sana, ninasema hawa wote tunahitaji kuwakamata na kuwachapa bakora sana, kama Mwalimu alivyokuwa akiwafanyia maviongozi magoi goi kule Ikulu zamani. I mean what happened to this Nation? Tumelogwa na nani hasa? Hili taifa kama ni maamuzi magumu tunatakiwa kuyafanya kwa kusimamia Sheria kwanza, ambako ndiko hasa kwenye ubovu na huyu Kiongozi akiwa ni mfano hai wa hilo la kutoheshimu sheria!

- Kutoheshimu sheria sasa kumetufikisha mahali ripoti ya W/B inasema 20% ya bajeti yetu kila mwaka inaishia kwenye Rushwa, mfano mwingine kati ya kesi 10,000 zilizofikishwa Takukuru toka ianzishwe ni 5% tu zilizofikishwa kwenye Sheria, zingine zimeishia hewani kwa sababu ya Rushwa, Wakulima wetu wa Mbao hishia kupata only 5% ya kilimo chao huku 95% zikienda kwa Viongozi wa juu na makampuni husika kupitia Rushwa. Mh. Lowassa anasema maamuzi magumu ni pamoja na kutafuta madeni zaidi, huku akijua wazi kwamba toka ashike madaraka ya juu mpaka leo, deni la taifa limeongezeka kwa kasi kubwa sana kutoka USD $ 6.1 Billion mpaka sasa USD $ 10.2 Billion, huku Serikali ikiwa haina cha maana cha kuonyesha na hasa umeme ambao aliufanyia maamuzi magumu. Huko kwenye ukusanyaji kodi ndio kabisaa kumeoza, kila mwaka TRA wanashindwa kukusanya Shillingi Billion 100 kwa sababu ya Rushwa, matokeo ni kuongezeka kwa inflation 8%!

- Cha kusikitisha zaidi ni jinsi Serikali ilivyomjibu, ikjikanyaga kanyaga na maneno ya Bara bara ya Mkapa na Chuo Cha Dodoma, badala ya kufanya maamuzi ya magumu ya haraka sana kwa kumkamata haraka sana yeye mwenyewe kwanza na genge lake, ili wakajibu zile USD $ 170 Million za gademu umeme wa dharura ambao haupo ziko wapi? I mean my people, unajua Mungu anahitaji kwenda kuwaomba Radhi watu wa Sodoma na Ghomorah kwa sababu sio siri we are more than them this Nation, look here kati ya wananchi Millioni moja wa Tanzania walioulizwa kama wanaamini tuna Sheria, ni 19% tu waliokubali kwamba zipo, now what about the rest 81% ambao wanaamini kwamba hakuna Sheria? Masikini ya Mungu hili taifa nani atatuokoa? maana hakuna wa kumsaidia mwingine I mean haiwezekani binadam akashindwa kuona na kufikiri pia, kwamba what Mh. Lowassa said is the biggest political joke of all our times na the saddest thing kuna waliomshangilia, dawa ni kukamata wote na kuchapa viboko mbele ya gademu public!

- Tanzania; maamuzi magumu yaanzie kwenye utawala unaoheshimu sheria kwanza!

Mungu Aibariki Tanzania!

William Malecela @ NYC, USA.
Hata sakata la Rada wanamuosha Chenga na kufanya "maamuzi magumu" ya kwenda UK kudai ganji.
 
Dogo, tatizo lako unachanganya chuki zako pamoja na hisia zako za ovyo, na hapo ndipo unaposhindwa hata kabla ya kuanza.
umeonyesha kiwango kikubwa cha kutokuwa na akili, huu ni grade A upupu.
Babako Malecela hakuwa na akili, na wewe umeamua kumuunga mkono kwa kutokuwa na akili. Hiki ni kilio tosha ndani ya familia yenu
Umeoneshwa jua unaangalia kidole, task your head and don't speak like a fruitcake.
Pinda, kiranja mkuu wa shughuli za serikali amejidhihirisha kuwa hatoshi masuala mengi na kuishia kusema 'nafikiri, nadhani, sijui tufanyeje' maamuzi magumu tunayoyashuhudia sasa ndani ya dola la ccm ni kuwasafisha viongozi (wa kisiasa) ambao dhahiri wanajulikana kuwa ni mafisadi na wametuingiza katika matatizo makubwa, na uamuzi mwingine mgumu ni pale Membe aliposema ' hatuwezi kukubali nchi kuongozwa na DJ' akimrejea rais wa madagascar leo yako wapi???
 
FACEBOOK: by William Malecela on Tuesday, July 5, 2011 at 8:40pm[/h]

@ NEW YORK CITY-US: The biggest political joke this week, ilikuwa ni ushauri wa maamuzi magumu kwa Serikali kwa Kiongozi aliyetuingiza taifa hasara ya USD $ 170 Million kwa ajili ya umeme wa dharura wa Megawati 100 ambao haupo. Sasa cha ajabu sana ni wananchi na baadhi ya Wabunge wa CCM waliosimama na kumshangilia sana,
ninasema hawa wote tunahitaji kuwakamata na kuwachapa bakora sana, kama Mwalimu alivyokuwa akiwafanyia maviongozi magoi goi kule Ikulu zamani. I mean what happened to this Nation? Tumelogwa na nani hasa? Hili taifa kama ni maamuzi magumu tunatakiwa kuyafanya kwa kusimamia Sheria kwanza, ambako ndiko hasa kwenye ubovu na huyu Kiongozi akiwa ni mfano hai wa hilo la kutoheshimu sheria!

- Kutoheshimu sheria sasa kumetufikisha mahali ripoti ya W/B inasema 20% ya bajeti yetu kila mwaka inaishia kwenye Rushwa, mfano mwingine kati ya kesi 10,000 zilizofikishwa Takukuru toka ianzishwe ni 5% tu zilizofikishwa kwenye Sheria, zingine zimeishia hewani kwa sababu ya Rushwa, Wakulima wetu wa Mbao hishia kupata only 5% ya kilimo chao huku 95% zikienda kwa Viongozi wa juu na makampuni husika kupitia Rushwa. Mh. Lowassa anasema maamuzi magumu ni pamoja na kutafuta madeni zaidi, huku akijua wazi kwamba toka ashike madaraka ya juu mpaka leo, deni la taifa limeongezeka kwa kasi kubwa sana kutoka USD $ 6.1 Billion mpaka sasa USD $ 10.2 Billion, huku Serikali ikiwa haina cha maana cha kuonyesha na hasa umeme ambao aliufanyia maamuzi magumu. Huko kwenye ukusanyaji kodi ndio kabisaa kumeoza, kila mwaka TRA wanashindwa kukusanya Shillingi Billion 100 kwa sababu ya Rushwa, matokeo ni kuongezeka kwa inflation 8%!

- Cha kusikitisha zaidi ni jinsi Serikali ilivyomjibu, ikjikanyaga kanyaga na maneno ya Bara bara ya Mkapa na Chuo Cha Dodoma, badala ya kufanya maamuzi ya magumu ya haraka sana kwa kumkamata haraka sana yeye mwenyewe kwanza na genge lake, ili wakajibu zile USD $ 170 Million za gademu umeme wa dharura ambao haupo ziko wapi? I mean my people, unajua Mungu anahitaji kwenda kuwaomba Radhi watu wa Sodoma na Ghomorah kwa sababu sio siri we are more than them this Nation, look here kati ya wananchi Millioni moja wa Tanzania walioulizwa kama wanaamini tuna Sheria, ni 19% tu waliokubali kwamba zipo, now what about the rest 81% ambao wanaamini kwamba hakuna Sheria? Masikini ya Mungu hili taifa nani atatuokoa? maana hakuna wa kumsaidia mwingine I mean haiwezekani binadam akashindwa kuona na kufikiri pia, kwamba what Mh. Lowassa said is the biggest political joke of all our times na the saddest thing kuna waliomshangilia, dawa ni kukamata wote na kuchapa viboko mbele ya gademu public!

- Tanzania; maamuzi magumu yaanzie kwenye utawala unaoheshimu sheria kwanza!

Mungu Aibariki Tanzania!

William Malecela @ NYC, USA.

Speaking of kuchapana bakora je Huyu aliyetuingiza kwenye mikataba mibovu naye tumfanyeje maana yuko karibu zaidi hapo kwenu USA
obama+mwanaidi+2.jpg

na mmoja kati ya hao waliotuingiza kwenye MKENGE huo wa umeme ni huyu Mama.....

je tuanze kumpiga yeye viboko au?
 
- Mkuu wangu sometimes ninashindwa kuelewa hili taifa, the symbol ya maamuzi magumu ya wizi anaposimama na kutukejeli kwamba hatuwezi kutoa maamuzi magumu, I mean inasikitisha sana!

Lakini mkuu kituko pia kilikuja kwa yule aliyekuwa analeta utetezi kwamba Serikali imefanya maamuzi magumu! Hivi uliona au ulisikia?

Mimi sijawahi kuona wala kusikia eti kumbe na kufanya miradi ya maendeleo nayo ni moja ya maamuzi magumu kuyafanya! Huu sasa ni utani eti tulijenga daraja la Umoja, Tulijenga Chuo Kikuu cha Dodoma, n.k. hivi haya ndo maamuzi magumu tunayotarajia kuyaona yakifanyika hapa kwetu? Basi hatuna viongozi ni upupu mtupu!!
 
Kil kitu ni maaamuzi magumu kwa mtu asiye jua kupanga kuchagua na kuweka prioriry sahihi kwa vitendo.
On paper sera ni Kilimo kwanza but kivitendo ni Siasa kwanza.
 
William, hongera kwa maoni yako mazito na ya kweli. Leo umenileta karibu zaidi na wewe kuliko jana na juzi!

Opinion yangu ni kwamba, una uwezo mkubwa wa akili, lakini umepungukiwa na jambo moja, nenda kauze mali zako zote uwape maskini. Hilo ndio tatizo la watu wengi, wenye akili na wajinga, hawawezi kukana nafsi zao na kuwaona watu wengine kuwa ni watu kama wao. Juzi ulipotukana nikawa nakushangaa sana, hadi nikadhani kumbe aliyeshiba hakosi kiburi, majivuno na dharau hata akipewa ushauri mzuri. Nilitamani kulia niliposoma jibu lako dhidi ya ushauri wa Ally (?). Ushauri ule ulikuwa mzuri mno kwako na kwa wengine. Kitu cha kushangaza si kwamba uliukataa peke yake, bali ulimtukana!!! Je ulikuwa umepata moja baridi moja moto?

Hata hivyo, tukirudi kwenye mada iliyopo mezani, nakubaliana kabisa na kilio chako uliposema . Mimi pia ninalia hivyo. Mimi ni mwana CCM tangu wakati wa TANU, lakini ninakosa mtu makini ndani ya CCM anayeweza kujibu kilio chako hicho, na kwa dhati ya moyo wangu, niaona kuna mwana CCM mmoja tu ambaye alihamia CDM, Dr W. Slaa. Huyu mtu ana sifa zinazoelekea kwa Mwl. Nyerere. Tunaweza tuache kujadili kuhusu uzuri na ubaya wa CDM, lakini tumwangalie Dr W. Slaa kama yeye, kama jinsi Dr JK Nyerere alivyo yeye tofauti na CCM.

Hilo ndio pendekezo langu kwako ndugu yangu. Aksante
Sungura

Dogo, tatizo lako unachanganya chuki zako pamoja na hisia zako za ovyo, na hapo ndipo unaposhindwa hata kabla ya kuanza.
umeonyesha kiwango kikubwa cha kutokuwa na akili, huu ni grade A upupu.
Babako Malecela hakuwa na akili, na wewe umeamua kumuunga mkono kwa kutokuwa na akili. Hiki ni kilio tosha ndani ya familia yenu

Utaelewaje matatizo ya mtanzania halisi wakati wewe upo NYC kwa pesa za wizi uliofanywa na JSM?

wewe predident salum: nahisi ulikua jela.
Join Date : 3rd December 2006
Posts : 12

Rep Power : 0

Hakuwa Jela! soma vizuri thread utaelewa tatizo la huyo Salum. Anawakilisha wengi waliotufikisha hapa tulipo, watu wasiojua na wasio amini dunia ni duara.

Mimi na Mchungaji Masanilo tuna amini kuwa ujinga wetu ndio mtaji wa Mafisadi, Ujinga wetu! hivyo hakuwa jela Bwana; Technology ni ujinga wetu!
 
Pamoja sana kwa hili.....
 
FACEBOOK: by William Malecela on Tuesday, July 5, 2011 at 8:40pm[/h]

@ NEW YORK CITY-US: The biggest political joke this week, ilikuwa ni ushauri wa maamuzi magumu kwa Serikali kwa Kiongozi aliyetuingiza taifa hasara ya USD $ 170 Million kwa ajili ya umeme wa dharura wa Megawati 100 ambao haupo. Sasa cha ajabu sana ni wananchi na baadhi ya Wabunge wa CCM waliosimama na kumshangilia sana, ninasema hawa wote tunahitaji kuwakamata na kuwachapa bakora sana, kama Mwalimu alivyokuwa akiwafanyia maviongozi magoi goi kule Ikulu zamani. I mean what happened to this Nation? Tumelogwa na nani hasa? Hili taifa kama ni maamuzi magumu tunatakiwa kuyafanya kwa kusimamia Sheria kwanza, ambako ndiko hasa kwenye ubovu na huyu Kiongozi akiwa ni mfano hai wa hilo la kutoheshimu sheria!

- Kutoheshimu sheria sasa kumetufikisha mahali ripoti ya W/B inasema 20% ya bajeti yetu kila mwaka inaishia kwenye Rushwa, mfano mwingine kati ya kesi 10,000 zilizofikishwa Takukuru toka ianzishwe ni 5% tu zilizofikishwa kwenye Sheria, zingine zimeishia hewani kwa sababu ya Rushwa, Wakulima wetu wa Mbao hishia kupata only 5% ya kilimo chao huku 95% zikienda kwa Viongozi wa juu na makampuni husika kupitia Rushwa. Mh. Lowassa anasema maamuzi magumu ni pamoja na kutafuta madeni zaidi, huku akijua wazi kwamba toka ashike madaraka ya juu mpaka leo, deni la taifa limeongezeka kwa kasi kubwa sana kutoka USD $ 6.1 Billion mpaka sasa USD $ 10.2 Billion, huku Serikali ikiwa haina cha maana cha kuonyesha na hasa umeme ambao aliufanyia maamuzi magumu. Huko kwenye ukusanyaji kodi ndio kabisaa kumeoza, kila mwaka TRA wanashindwa kukusanya Shillingi Billion 100 kwa sababu ya Rushwa, matokeo ni kuongezeka kwa inflation 8%!

- Cha kusikitisha zaidi ni jinsi Serikali ilivyomjibu, ikjikanyaga kanyaga na maneno ya Bara bara ya Mkapa na Chuo Cha Dodoma, badala ya kufanya maamuzi ya magumu ya haraka sana kwa kumkamata haraka sana yeye mwenyewe kwanza na genge lake, ili wakajibu zile USD $ 170 Million za gademu umeme wa dharura ambao haupo ziko wapi? I mean my people, unajua Mungu anahitaji kwenda kuwaomba Radhi watu wa Sodoma na Ghomorah kwa sababu sio siri we are more than them this Nation, look here kati ya wananchi Millioni moja wa Tanzania walioulizwa kama wanaamini tuna Sheria, ni 19% tu waliokubali kwamba zipo, now what about the rest 81% ambao wanaamini kwamba hakuna Sheria? Masikini ya Mungu hili taifa nani atatuokoa? maana hakuna wa kumsaidia mwingine I mean haiwezekani binadam akashindwa kuona na kufikiri pia, kwamba what Mh. Lowassa said is the biggest political joke of all our times na the saddest thing kuna waliomshangilia, dawa ni kukamata wote na kuchapa viboko mbele ya gademu public!

- Tanzania; maamuzi magumu yaanzie kwenye utawala unaoheshimu sheria kwanza!

Mungu Aibariki Tanzania!

William Malecela @ NYC, USA.

Kwenye ziara yake ya kwanza akiwa raisi Barak Obama akiwa Ghana alitanabaisha kuwa
Africa needs strong institutions, not strong men" Hatuna strong institutions Tanzania. Hii ni fact ndo maana kuna mauza uza mengi sana.

Hotuba nzima ya Obama iko hapa Africa needs strong institutions, not strong men - Barack Obama
 
Pamoja sana kwa hili.....

Mchungaji hata EL alivyofanya jokes kuwa Serikali haifanyi maamuzi magumu alitumia ujinga wetu kupata ujasiri wa kuongea hayo na kwa ujinga wetu wabunge wa CCM walimshangilia sana.

Mi na nadhani viboko haviwatoshi; CCM inapaswa kufutwa kabisa na viongozi wake wote kuanzia kata hadi taifa na wastaafu wote kuwekwa Quarantine somewhere hawaruhusiwi kugombea cheo chochote hadi kufa, wanaweza kuwekwa visiwa vya Ukerewe nadhani watatosha na hakuna kutoka huko mali zao zote tunataifisha kuhudumia umma. Kama hawata tosha Ukerewe wengine wawekwe visiwa vya Mafia na Ukara Mkuu wao wa wilaya tuna mpa Ben akae nao huko mwisho wa Mkuu wa wilaya itakuwa mwanza kumperekea taarifa Mkuu wa Mkoa nadhani mkuu wa mkoa wa mwanza atafaa sana kuwa mtu anayeweza kuwashughulikia hipasavyo bila huruma
.
 
Willie @NY USA naona leo kidogo imetulia mana yale mambo ya kuitana ''Kichwa Mbuzi'' ''Mpumbavu'' hayapo tena.

Ok tukirudi kwenye mada uliyotuletea na lawana ulizotoa ni kwamba CCM mfumo mzima haufai, ccm imeoza na ndio chanzo cha umasikini wetu hapa Tanzania.

Je kutokana na hilo si inatosha kabisa kuiweka ccm pembeni? Kuitoa ccm madarakani na kuweka chama kingine kitakachoweza kutuvusha kutoka hapa tulipokwama.

Napata mashaka kama ulichoandika kina dhamira safi kutoka moyoni mwako

mana kuna thread humu jamvini si ya muda mrefu sana umedai unaanzisha tawi la CCM huko New York unapoishi, lengo ni kuimarisha chama cha mapinduzi.
Na ukamalizia na kauli ''Kidumu chama cha Mapinduzi''

leo hii unawalaumu hao hao waliotukosesha umeme,
unalaumu mfumo huo huo usiowashuhulikia mafisadi,
unalumu mfumo huo huo wa kulindana! n.k n.k n.k

Are u serious kweli?! Mimi nadhani unatukejeli.

Wasalaam.
 
The joke is on you, ambaye bado unaimba na ccm ukidhani unaweza kuibadilisha na inaweza kuendeleza hili taifa!
Muda wote hapa ulidhani tunaimba ngonjera?
 
Naomba mfano wa maamuzi magumu yaliyofasnywa na serikali yoyote ile Africa,ukiondoa azimio la arusha na vita ya kagera.
 
Lowasa amesema alosema kwa
sababu alikua anajiamini kwamba anaongea na
wajinga na wata mpigia makofi.

Wabunge wa ccm walimshangilia,lakini Lowasa hakukosea,...
alimaanisha alichosema kwamba serikali ina uoga mkubwa sana,...
mfano halisi ni:-

1.Kushindwa kumfukuza yeye uwaziri badala yake
akaachiwa ajiuzuru ili apewe "malupu lupu ya uwaziri mkuu"

2.Mmeshindwa kumfikisha mahakamani yeye na team yake
3.Mmeshindwa hata kufuatilia walo husika na ufisadi wa
rada badaya yake mnatolea mate "change" ya rada.

4.CCM ni wajinga,just like W.J.Malecela,....
wanajidai ku-question wapinzani maswali
ambayo hawawezi ku-question viongozi walioko
madarakani,ni uoga na ujinga.....
 
unamaanisha kuwa siku ile assume na wewe ungekuwa mbunge wa ccm usingepiga makofi? you swear? hauko kwenye system ndio maana unataka wenzako wapigwe bakora.. i cant buy this for really wewe unaleta propaganda zako hapa bills ili upewe ubunge ukishapewa unaenda bungeni kulala na kupitisha bajeti kwa 100%...fo reallyi cant buy this propaganda ...wewe ungekuwa bungeni kama mwakilishi wa mtera lazima ungepiga makofi ..this is ccm..unataka kuniambia wkuwa wale wabunge wote wa ccm hawajui kilichotokea au alichofanya Lowasa? wanajua tena hata zaidi ya unavyojua wewe but kwa vile wapo kwenye system wamepiga makofi .. let see you when you gonna be there.
 
Lowasa amesema alosema kwa
sababu alikua anajiamini kwamba anaongea na
wajinga na wata mpigia makofi.

Wabunge wa ccm walimshangilia,lakini Lowasa hakukosea,...
alimaanisha alichosema kwamba serikali ina uoga mkubwa sana,...
mfano halisi ni:-

1.Kushindwa kumfukuza yeye uwaziri badala yake
akaachiwa ajiuzuru ili apewe "malupu lupu ya uwaziri mkuu"

2.Mmeshindwa kumfikisha mahakamani yeye na team yake
3.Mmeshindwa hata kufuatilia walo husika na ufisadi wa
rada badaya yake mnatolea mate "change" ya rada.

4.CCM ni wajinga,just like W.J.Malecela,....
wanajidai ku-question wapinzani maswali
ambayo hawawezi ku-question viongozi walioko
madarakani,ni uoga na ujinga.....
Tusisahau pia........
Kushindwa kutatua mtafaruku wa wafanyabiashara ndogondogo mjini mwanza.....watu watatu wameuawa!
Kushindwa kusimama kidedea na kutotambua uchaguzi wa meya wa Arusha
Kushindwa kumuondoa Shibuda kwenye chama
Kushindwa kusimamia pamoja hoja ya posho za wabunge
Kushindwa kuitengua 1992 energy policy.....
Kushindwa kuleta bajeti itakayotoa elimu bure mpaka kidato cah sita na chuo kikuu kwa wale waliofaulu vizuri
Kushindwa kulipa kodi kwenye mshahara/posho ya katibu mkuu.......
 
'Kama JUMANNE (John Samuel Cygi....Malecela) yupo hapa mimi siingi ndani ' JK Nyerere 1995 Dodoma.Hivi baba'ko keshabadili jina na dini au bado anaitwa Jumanne?Na zile pesa za kusilimu alizopewa Uarabuni agombee urais alirudisha na kama hajarudisha mna mpango gani?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom