Alichofanya Lowassa ni kuwathubutisha serikali kuwa kama kweli "mnaweza kufanya maamuzi magumu tukatamateni, tufukuzeni"..
Na kama kawaida yao wakaanza kujikanyaga na takwimu za barabara, shule na upupu mwingine...badala ya kufanya kile Lowassa anajua (na kwa makusudi mazima akaamua kuwakejeli ndani ya Bunge) kamwe hawataweza...
Kwa WJM...kukuuliza tu Mzee anaonaje huu mkanganyiko uliopo serikalini kwa sasa?