"MAAMUZI MAGUMU"
Ndugu zangu nawasalimu
Siku ya jumapili niliweka andiko hapa lilosema
"Ndugu zangu Wiki ya Kesho Muda wote nitafanya maamuzi magumu sana,
Najuwa wako watakosema mabaya na wengine kupongeza ila nimejipanga kuyaishi yale nayo yasema,Ikidhirika kwamba huwezi kuyafikia malengo yako,Usibadili malengo hayo rekebisha mbinu unazotumia kuyafikia'
By immaSaro"
Wiki yenyewe ndio hii,
Niwiki ambayo nipokea simu nyingi sana kutoka kwa watu mbalimbal.Nimeona wengi wakitaka kujuwa nini hicho kinachoitwa maamuzi magumu.
Kwanza nianze kwa kuwatoa hofu walewote waliokuwaa na mawazo ya Imma Saro kuondoka CHADEMA.
Nitabaki kuwa mwanachadema ila nikiwa na Maamuzi Magumu sana,
Ningependa kuwakumbusha Mwaka 2015 ulikuwa mwaka wa Uchaguzi nilihakikisha nashiriki kikamilifu katika kuhakikisha mabadiliko yanatokea katika Taifa letu,Mabadiliko niliyoyategemea hayakufanikiwa kwa asilimia miamoja,
Nikiwa Mratibu wa uchaguzi Jimbo la Siha-Kilimanjaro nilifanikiwa kuongoza katika sehemu kuu tatu,Kura za Raisi, Ubunge na Madiwani wa kutosha kuunda Halmashauri,
Kwa kile nilichokiona 2015 kwa Mh.Edward Lowassa,na Mh . Maalim Seif Sharif Hamad
Yatosha kufanya Maamuzi Magumu,Yakutoshiriki tena katika Uchaguzi wowote ule utakaoitishwa na NEC.
Sabubu ni Moja tu "Tume yetu ya Uchaguzi haiko huru'
Tunapoeleke mwaka 2020 tujue kwamba ni mwaka wa Uchaguzi Mkuu kwa Wabunge, Madiwani pamoja na Rais
. Sasa kazi ni moja tu, kudai Tume Huru ya Uchaguzi ili haki itendeke 2020.
Haijalishi ni kwa njia gani ile kuyafikia Malengo iwe kwa Maandamano ambayo tulitegemea kuyaanza rasmi jumatano.16.06.2016
Ninaamini Kwa Mshikamono tulionao yatosha kudai Tume Huru ya Uchaguzi..
"Sasa kazi ni moja tu, kudai Tume Huru ya Uchaguzi ili haki itendeke 2020.
By Imma Saro