Sawa mkuu nimekuelewa sanaa na kwa sasa nipo makini sana juu ya Hilo sualaMimi nakupa ushauri wa bure ndugu yangu huyo mwanamke hakupendi kama alikuacha kipindi unasoma na atakuacha pia kipindi hukiwa hauna kitu fikilia jamaa aliye mzarisha ameamua kumpotezea kwa ajiri yako sio kwamba anapenda ila shida ndio zinamfanya awe na ww na kwa vile anajua unampenda hapo mbele akibadilika utaumia sana kwa kumfanyia vingi na malipo yake ni kukuacha na maumivu yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Futa hii kauli kuna watu wengi wamezaa na hawawezi kukumbushiana asilani. Na hamna mawasiliano ya kijinga.Hongera kwa kuwa na true love. Kiukweli wazazi huwa hawaachi kuwasiliana na wakati mwingine hukumbushiana lkn inategemeana na walivyoachana ila lwa huyu waliachana kwasbb ya shida ila walikuwa wanapendana. Ila mkuu kwann usingetafuta mwanamke fresh ukaanza naye maisha?
Ok! Hongera kwa huo moyo ila mm nisingeweza lbd km angekuwa hana mtoto
Pole sana. Naona unaandika kitu ambacho hukijui.Futa hii kauli kuna watu wengi wamezaa na hawawezi kukumbushiana asilani. Na hamna mawasiliano ya kijinga.
Kwani wewe hujaelewaHongereni mlioelewa
Mwanamke anaweza kuachana na wote ila sio mzazi mwenzake. Upo sahihi Mkuu.Nasubili mrejesho mwingine huyo bado anapendana na huyo aliye zaa nae. Ni shida tu ndo zimemrudisha kwako. Acha uzuzu.
YA kwako ipi mkuuDah ulivyoanza hapo juu nikajua ni mimi unazungumzia kuhusu kumtia mimba huyo mwanamke na mimi nina kahadithi kama hako.
Mkuu nikijua tuu basi hapohapo red cardMwanamke anaweza kuachana na wote ila sio mzazi mwenzake. Upo sahihi Mkuu.
Ya kwangu.YA kwako ipi mkuu
Kwani ulitaka niamuajeHongeraa mkuu... Umeamua vyema