Maamuzi magumu juu ya tegeta escrow

Edobeny

Senior Member
Nov 26, 2014
143
29
nimeamua kuingia msituni kutafuta majina ya wale wote waliokomba hela kwa rumbesa kupitia akaunti ya STANBIC BANK. Hatua niliofikia ni nzuri mpaka sasa.
 
Weka hapa majina yao ilituwamwagie tindikali mitaani,maana mkulu anawaogopa.

Sent from my SM-G800H using Tapatalk
 
Ndio maana washirika wenzetu wa East Africa wanatukejeli sana kwa vile hata mambo ya msingi na ya kutia uchungu sisi tunafanya masihara na viongozi wayafanyao hayo madudu wanatuona wananchi ni mazoba.
 
nimeamua kuingia msituni kutafuta majina ya wale wote waliokomba hela kwa rumbesa kupitia akaunti ya STANBIC BANK. Hatua niliofikia ni nzuri mpaka sasa.

Sasa huo ni umbea. Kwa nini usitudokeze outright? Au ni tezi and family?. Hii ni JF usiogope. Wewe mwaga tu.
 
Back
Top Bottom