MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,596
Enzi za mababu imeshatokea mara nyingi kwamba mmoja wa wanandoa hao au wote wawili wanakuwa hawaoni raha ya tendo la ndoa. Kuna wanawake ambao wamedumu kwenye ndoa kwa muda mrefu sana (labda hadi uzeeni) lakini hawajui kwamba hata mwanamke naye anasikia raha ya lile tendo. Mwanamume naye anafanya tu kwa vile balbu imewaka, anajitahidi hadi izimike kwa utaratibu wa kawaida, lakini raha hamna.Kwani enzi za mababu, au katika jamii zisizoruhusu kutesti, inakuwaje pale watu wameshafunga ndoa halafu ikatokea kuwa hakuna compatibility/
Shapu yaani ni kweli kabisa kuwa inapotokea hivyo inawezekana ikawa ni tabu. But ni kweli kuna hizo extreams? za ufunguo kuwa mkubwa nthan kufuli? Si wanadai kufuli inauwezo wa kumudu ufunguo despite the size?
Mimi nafikiria tabu itakuwa kama kufuli ni kubwa sana au funguo ni ndogo sana hapa nadhani hata kufungua mlango kwa mafanikio itashindikana.
Kwani enzi za mababu, au katika jamii zisizoruhusu kutesti, inakuwaje pale watu wameshafunga ndoa halafu ikatokea kuwa hakuna compatibility/
Shapu yaani ni kweli kabisa kuwa inapotokea hivyo inawezekana ikawa ni tabu. But ni kweli kuna hizo extreams? za ufunguo kuwa mkubwa nthan kufuli? Si wanadai kufuli inauwezo wa kumudu ufunguo despite the size?
Mimi nafikiria tabu itakuwa kama kufuli ni kubwa sana au funguo ni ndogo sana hapa nadhani hata kufungua mlango kwa mafanikio itashindikana.
Ukimbania jamaa ukadai mpaka siku ya harusi ndo kama jamaa iwa anaruka ukuta na kujiexpress sijui utafanyaje yeye anakwambia ndo mchezo wake mmetoka kusherekea na kuruka ruka na miplau na micake jamaa anataka kujiexpress usiku utajuuuuuuuuuuuuuuta kuolewa.
Hahahahaha! Kugonga gonga kufuli kidogo! Umenikumbusha. Nyumba zingine zina masharti wakati wa kufungua kufuli. Eti "vuta kufuli kwa chini kidogo, ingiza ufunguo nusu halafu zungusha ufunguo clockwise kisha anticlockwise... sasa ingiza ufunguo wote", hapo kufuli linafunguka. Bila hivyo mamsapu ni vilio kila siku. Ah! jamani! hivi kuna huo muda wa kukariri matendo yote hayo kweli? Utaweza kufanya hivyo kila siku?MJ1,
Mhh umeniacha hoi. Mimi nilidhani kinyume chake. Kama kofuli ni kubwa sana mimi sioni tatizo la ufunguo. Ufunguo uwe mdogo au mkubwa then hamna shida utapenya tu kwenye hilo kofuli. Kuhusu ufunguo kufungua kwa ufasaha itategemea na mambo mengine yanayojumishwa katika ufunguaji wa kofuli hilo kama mikono kugonga gonga kofuli, uzungushaji wa kofulu na maeneo ya kofuli... vyote hivyo hichangia mafanikio ya ufunguaji kofuli. Sasa kasheshe huwa inakuwapo wakati ufunguo ni mkubwa sana kupita kofuli... hayo mambo mengine hayata apply kwani hata uweke gris kiasi gani bado funguo itashindwa kupenya. Na ndicho kilichonitokea mpaka kidogo nipasue kofuli aou nivunje ufunguo pale mpenyezo uliposhindikana. Nadhnai umenipata.
yaani wewe!