Maalumu kwa wanaume wanandoa

Ni shida kwa kweli. Hao ndiyo wanaume wetu ambao wanalilia kuwa viongozi na vichwa vya familia mimi kuliko kuongozwa na mwanaume wa aina hiyo bora niongozwe hata na mnyama tu.
 
Wewe kwenye ndoa una amini Nini? Nafasi ya mwanamke na mwanaume ili ndoa iwe imara ni Nini?

Kwako mume unamuweka ktk nafasi gani, in relation ya asili ya mwanamke na mwanaume?
Itategemea na aina ya mwanaume niliye naye. Siyo kila mwanaume anastahili heshima ya mwanamke maana uanaume siyo tu kuwa na uume pekee ndiyo ujione kuwa eti wewe tayari ni mwanaume.

Manhood comes with a lot of responsibilities
 
Natamanigi tu wanaume wangekuwa ka baba yangu ni very understanding hata wababa wadogo hawana hizi Mambo za ukandamizaji sijui Mimi mwanaume na vile Sasa ukikutana na Hawa kwa jamii yetu una choka mwili na roho, kwanza anakuwa anakunyanyasa ile fear yake anakuwa ana ku undermine, ili yeye ajione ndo mwanaume very exhausting, kuliko kuishi na mwanaume design hyo Bora uwe single maana ufikiri umetofautiana
 
Wewe umeolewa?
 
Maelezo yako tu yanaonesha upo in ur early 20s, u have a lot of expectations on marriage issues. Hauko realistic, u have a lot of illusions in ur mind.

Subiri umri usogee kwanza, Kisha ndy utaelewa tunachozunhumza hapa.
 
Sio kushindana utapewa ukweli wako bila kujali jinsia yako Mimi na amini wote tuko sawa kilichotofautisha ni vikojoleo tu the rest tuko sawa. Kikubwa kuheshimiana

Feminist huyu, na sina imani hata kama ameolewa..! Kiukweli, Ndoa ni Taasis iliyochini ya Mwenyezi Mungu..! Kama iko chini ya mwenyezi Munu, basi heshima, upendo na kuaminiana na sio kumpiga.. Hayo ni sehemu muhimu ili ndoa iweze kudumu. Pamoja na hayo, Kila mmoja ni muhimu sana kujua nafasi yake katika ndoa hiyo. Mume afanye sehemu na mke naye sehemu yake huku mkiheshimiana, pendana, kuaminiana na kuwa Marafiki na Kuwa wawazi. Kufanya hayo kunaweza kudumisha ndoa ila sio hayo mawazo yako yaliyojaa harakati na ushindani kwenye ndoa.
 
True, true!
 
Unajua maana ya Feminist kwanza au na wewe ni wale wale walio aminishwa Beijing bila kujua undani wake. Hebu Soma kitabu Cha Chimamanda Ngozie uelewe maana ya hyo Feminist kiundani.
Hafu Mimi sioni shida kusimamia ninachokiamini na kinachonipa furaha hata dunia nzima ikiwa against me I don't care as long nime fulfil purpose yangu la life I'm happy.
Kwa kweli siachi kusimamia ninachoamini ndoa zimewashinda wasio ma feminist sembuse mie na misimamo yangu.
 
Maelezo yako tu yanaonesha upo in ur early 20s, u have a lot of expectations on marriage issues. Hauko realistic, u have a lot of illusions in ur mind.

Subiri umri usogee kwanza, Kisha ndy utaelewa tunachozunhumza hapa.
Kwanza hata hyo marriage siiamini Mana ni taasisi inayoomgoza kwa unafiki na machungu ya watu wengi bila kujali jinsia, watu wajidai wako kwa marriage wanaongoza kwa umalaya kuliko single si Bora waache unafiki, daily huku twaona nyuzi hasa wanaume mnalalamika Sasa huo si unafiki jamani
 
Ndio nimeolewa nakaribia menopause
Unasema umeolewa, Mara hauamini katika ndoa, which one we should pick, anyway what I learnt ni kwamba, bado hujajua ndoa ni Nini, ndy maana you have a lot of negativity khs ndoa,. Yes, unaweza ukaolewa lkn usiwe mwanandoa.....!!!

Just because you ruined ur marriage for whatever reason, it doesn't mean kwamba ndoa si kitu chema.
 
Hakunaga mwalimu wa ndoa dunia hayupo kabisa na Sina negativity yoyote but huo ni ukweli unafiki mwingi Sana kuliko uhalisia wenyewe
 
Umesema hauamini kwenye marriage/ndoa...hii tayari ni negativity, na kwasababu hauamini inamaana haupo kwenye ndoa, na kwasababu haupo, hauijui kiuundani ndoa....hvy hii inakunyima moja kwa moja uhalali wa kutochangia au kutoa maoni. Sababu huwezi toa maoni kwa kitu usichokijua.
Hakunaga mwalimu wa ndoa dunia hayupo kabisa na Sina negativity yoyote but huo ni ukweli unafiki mwingi Sana kuliko uhalisia wenyewe
 
Umeharibu kwenye multiple choices.
 
Yani wewe unapangia na kunyima watu Cha kuchangia wewe ni dictator eeh. Kutokuwa au kuwepo kwenye Jambo haimaanishi hujui Jambo lolote
 
Samahani mkuu hvi Ni unyanyasaji aina gan mnoouongelea hapa yaan ile kua chini ya mwanaume tayari ndo unyanyasaji au mnaongelea unyanyasaji wa aina gani
 
Sasa makazini wanasemaga uwe na experience ya miaka 3,5,...... Ya kazi gani?
Yani wewe unapangia na kunyima watu Cha kuchangia wewe ni dictator eeh. Kutokuwa au kuwepo kwenye Jambo haimaanishi hujui Jambo lolote
 
Agiza kinywaji ulipo bro......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…