"MAALUMU KWA WALE WANAOGOPA PAKA USIKU"

Bulaya001

JF-Expert Member
Dec 21, 2018
5,868
6,480
Kipindi Cha , karne ya 14, barani Ulaya, walikuwa wanauwa paka baaada ya kuwahusisha na uchawi.

Baada ya kuuliwa paka wengi, ulitokea mlipuko wa Gonjwa la TAUN/PLAGUE, ambao unasababishwa na panya baada ya panya hao kuzaliana kwa wingi.

Inakadiliwa zaidi ya watu milioni 75, walikufa katika janga hilo la black plague/tauni, na miili ya watu hao ilipelekwa na kutupwa katika kisiwa cha povegilia ambapo ,mpaka Sasa kisiwa hicho kimekuwa gumzo kwasababu zaidi ya nusu ya ardhi ya kisiwa hicho kimefunikwa na mifupa na mafuvu ya Binadamu...
 
IMG-20190503-WA0090.jpeg
 
Kwani tauni sjui umekosea town! any way unajua weye ulicho kiandika vina husiana nini na paka mweusi mwenye ulimi wa pink.

kwani kuishi town ni ugonjwa? si tungeisha ukoo wote basi kama ni hivyo tumezaliwa wote mjini Dar salaama. sisi ni wazaramo.

umetudanganya
 
Kwani tauni sjui umekosea town! any way unajua weye ulicho kiandika vina husiana nini na paka mweusi mwenye ulimi wa pink.

kwani kuishi town ni ugonjwa? si tungeisha ukoo wote basi kama ni hivyo tumezaliwa wote mjini Dar salaama. sisi ni wazaramo.

umetudanganya
TAUN/PLAGUEhaya maneno hayashabihiani na neno TOWN, labda utakuwa haujaelewa ujumbe kwa kile nilichokiandika!
 
lkn kuna paka wana sisimua sana ukikutana nao usiku ama, ukiwa umelala usiku usikie milio ya paka kana kwamba analia mtu, ndan hua hapatoshi
Ni kweli ..hayo yanaitwa ma-paka shume .. laiti kama wangelikuwa ni binaadamu basi wangekuwa ni wale vijana wa uswazi. ....wanaoishi mbali na duara linalo hifadhi ustaarabu
 
Wale kuna mda wanaongea mkuu,kuna siku nilikaa maeneo ghafla wakatokea paka wawili wanalia hee nikashangaa kama wanazungumza nilitoka mbio eneo hilo nahisi waliulizana huyu binadamu anakimbia kitu gani.
Haaha Hatarii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom