palalisote
JF-Expert Member
- Aug 4, 2010
- 8,335
- 1,463
Tena apo washukur nmewasev zaman nlikua sisevu inakua namba tupu...asa kipi bora kuseviwa au kutoseviwa na hao nmewasev ivo coz nawaheshim sana
Jiulize mchepuko wako umekusevu kwa jina gani,me nimeifumania cm ya mchepuko wangu nikaamua kucheck kanisevu kwa jina gani yani!!hapa nilipo sina hamu nae,nilitegemea kukuta jina zuri mh majanga,nimekuta kanisevu kwa jina la mmh!! napata shida kulitamka nimembwaga,wale wanachama wa michepuko ebu leo kagua cm ya mpz wako utuletee mrejesho.
hahahahahahahaha
mie sikuwezi kabisa. Lakini huwa unajisikiaje kusave majina ya ajabu hivyo?
Yan hata presha sna....coz cm yenyewe ina password kila kona sjui wakitaka jua majina yao wataona vp
Kama kansevu vibaya atajijua coz me nmewasevu
1.phone no
2.mobile no
Mwenzio nmeseviwa kwa plate namba.
sidhani kama atakujibu... huko aliko kama namuona vile
Not that name,kila day ya kazi najitahidi kumpitia na kimkweche changu nampeleka job huku namwachia hela ya lunch na jioni naulizwa bby uko wapi nna hamu na bia kama kawaida leo naitwa FUNDI MZIBUA VYOO 2!! hatari.
sasa ikiwa unakula 0713 lazima uitwe fundi mzibua vyoo...
Ninachokuonea huruma ni kwamba hauko peke yako...hilo tu ndio linatia mashaka makubwa.
mambo ya mujini hayo si mchezo
Yan hata presha sna....coz cm yenyewe ina password kila kona sjui wakitaka jua majina yao wataona vp
Not that name,kila day ya kazi najitahidi kumpitia na kimkweche changu nampeleka job huku namwachia hela ya lunch na jioni naulizwa bby uko wapi nna hamu na bia kama kawaida leo naitwa FUNDI MZIBUA VYOO 2!! hatari.
Not that name,kila day ya kazi najitahidi kumpitia na kimkweche changu nampeleka job huku namwachia hela ya lunch na jioni naulizwa bby uko wapi nna hamu na bia kama kawaida leo naitwa FUNDI MZIBUA VYOO 2!! hatari.
Wewe mwenyewe umeshindwa kutaja, sasa unategemea nani akupe mrejesho ,,, onyesha njia kwanza!Jiulize mchepuko wako umekusevu kwa jina gani,me nimeifumania cm ya mchepuko wangu nikaamua kucheck kanisevu kwa jina gani yani!!hapa nilipo sina hamu nae,nilitegemea kukuta jina zuri mh majanga,nimekuta kanisevu kwa jina la mmh!! napata shida kulitamka nimembwaga,wale wanachama wa michepuko ebu leo kagua cm ya mpz wako utuletee mrejesho.