Tarime one
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 2,246
- 1,742
Jiulize mchepuko wako umekusevu kwa jina gani,me nimeifumania cm ya mchepuko wangu nikaamua kucheck kanisevu kwa jina gani yani!!hapa nilipo sina hamu nae,nilitegemea kukuta jina zuri mh majanga,nimekuta kanisevu kwa jina la mmh!! napata shida kulitamka nimembwaga,wale wanachama wa michepuko ebu leo kagua cm ya mpz wako utuletee mrejesho.
hujamalizia stori... lete jina alilokusave ili na wenzio wamwage hapa.

pemgine kaseviwa...."shoga kidawa"
Nitalileta hamna shida ngoja hasira zishuke kwanza.
pemgine kaseviwa...."shoga kidawa"
pemgine kaseviwa...."shoga kidawa"
pemgine kaseviwa...."shoga kidawa"
hahahaha mpaka mura kachukia si dogo lol
Ahahahaaaaa.......Jeez ww aki! unahitaji maombi
Not that name,kila day ya kazi najitahidi kumpitia na kimkweche changu nampeleka job huku namwachia hela ya lunch na jioni naulizwa bby uko wapi nna hamu na bia kama kawaida leo naitwa FUNDI MZIBUA VYOO 2!! hatari.

Tarime one, eti nini??? Fundi mzibua vyoo 2, ina maana kuna mzibua vyoo 1. HahahaaaaaNot that name,kila day ya kazi najitahidi kumpitia na kimkweche changu nampeleka job huku namwachia hela ya lunch na jioni naulizwa bby uko wapi nna hamu na bia kama kawaida leo naitwa FUNDI MZIBUA VYOO 2!! hatari.
Tarime one, eti nini??? Fundi mzibua vyoo 2, ina maana kuna mzibua vyoo 1. Hahahaaaaa
Itakuwa huwa mnamzibua choo huyu. Acha tabia hiyo.