Maalumu kwa ushauri wa kombination inayofaa kwenda nayo Form five

Mm mtokeo yangu aya apa
Civics- D
English- D
Math- F
Phyz- F
Kiswahili- C
History- C
Georgy- C
Chemistry- C
Bios- B
Lkn ndoto yangu ilikuwa udocta nkishindwa kama iv nursing au kilimo lkn naisi kwa ufaulu uwo nmegonga mwamba sasa in resit kwa masomo ayo mawili au nfanjeje au niende coz gan? naomba msaada kwa anae jua kuwa naweza nkasomea nn? Asante
CBG Anaweza kusoma medicine in case umefaulu vzuri jaribu hiyo ndoto zako naamini zitatimia
 
Mkuu ukisoma CBG unaweza kuwa nan ?
CBG kama utafanya vizuri mtihani wako wa kidato cha sita, ndio tunapata wataalam/madaktari wa mifugo na wanyama Pori (veterinary) mkuu
Kila kitu ni mpango, siyo kuwa daktari wa binadamu ndio mafanikio, pia ukiangalia na hiyo post nyingine hata pharmacy utasoma
 
Da asante sana big up
 
CBG kama uwez usiende huko koz mfumo wa vyuo vya science umebadilika kama umepata f olevel ya phy awakuchagui kokote ukifaulu ndo unaenda science vyuo vikuu .
 
wakuu naomba ushauri hapa
matokeo yangu ni haya

S1049/0063 M 20 II CIV - 'C' HIST - 'C' GEO - 'C' KISW - 'C' ENGL - 'B' PHY - 'C' CHEM - 'C' BIO - 'C' AGRI - 'D' B/MATH - 'D'

combi ya pcb najua imekubali nami siipendi kwani bios mimi nimbovu sana hata nashangaa nimeifaulu kwa kupata C
sasa tofauti na combi hio naweza soma combi ipi nyingine?
nilichagua
PGM kama ya kwanza
PCM ikiwa ya pili
PCB ikiwa ya tatu
CBG ikiwa ni ya nne
CBA ikiwa ya mwisho
 
Nina mdogo wangu kamaliza form 4 mwaka jana na matokeo yake ndo haya ya mwaka huu, kapata alama zifuatazo:
Physics-D
Chemistry-F
Biology-D
B/maths-F
History-D
Geography-D
English-C
Kiswahili-C
Civics-C
Division:3 points 25
Wakuu, anaweza apply na kuchaguliwa kozi gani marketable ktk chuo cha serikali? na je, advance ataweza chaguliwa HKL?
 
advaance hatachaguliwa kulingana na ufaulu huo. mwaka huu wamefaulu wengi, hivyo nafsi zitakua kwa waliotusua sana.

kuhusu chuo, muuize kwanza yeye anapenda asomee fani zipi. orozesha fani zote anazopenda (hata 3), kisha ndio uje kuomba ushauri juu ya fani gani nzuri kati ya zile anazozipenda.
 
Yeye alipendelea hasa nursing or teaching, na ni wa kike.Je, siku hizi priority kwa hii jinsia haipo?
 
Aende advance private atapokelewa, akapige kombi za sanaa ajipange atoboe apige degree
 
Habari zenu wana JF. Naomba mnishauri dogo ana C ya history na English .D ya kisw,bio, civic na Geo ana F -math yeye anataka kwenda advance lakin ana credit mbili tu nitamsaidia vp wakuu.
 
Back
Top Bottom