mahugijafarAzzubayr
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 202
- 156
Huu uzi nimeuanzisha kwa lengo la kukutana wale tuliosoma chuo cha ualimu Vikindu au wanaoendelea kusoma pale chuo.
Uzi huu ni mahsusi kwa kusaidia juu ya changamoto mbali mbali .
Kujulishana mambo yanayo zidi endelea pale VTC.
Mnakaribishwa wote toka wale wa enzi
za UBUGUYU mpaka MAMa AMINA ToU ...

Uzi huu ni mahsusi kwa kusaidia juu ya changamoto mbali mbali .
Kujulishana mambo yanayo zidi endelea pale VTC.
Mnakaribishwa wote toka wale wa enzi
za UBUGUYU mpaka MAMa AMINA ToU ...