Maalumu kwa ajili ya watumiaji wa mtandao wa Telegram

Melki the Storyteller

JF-Expert Member
May 3, 2022
5,701
9,779
Naimani mu wazima. Dakika chache zilizopita nimetoka kujiunga na mtandao wa Telegram. Hii ni baada ya kupitia replies za baadhi ya members humu, wakijaribu kuuthaminisha mtandao huu zaidi ya jinsi ambayo mtandao wa WhatsApp unavyofanya kazi

Pia nimepita google, nimekutana na maelezo kibao kuihusu telegram ikiwa ni pamoja na bots. Hizo bots ni nini? Binafsi sielewi. Na je, kuna vitu gani vya ziada kwenye huo mtandao?

N.B: Hata verified account ya JF nimeikuta uko. Tayari nimekwisha subscribe. Pia JamiiChat pia.

Wataalamu wa telegram njooni mmwage madini hapa

Kumbe simu haiwezi kuscreenshot kurasa yoyote ya telegram!!!!?

Karibuni:
 
Kwangu Telegram ni nzuri kuliko WhatsApp!
Naweza kukaa bila WhatsApp, lakini siwezi kukaa bila Telegram.
Ina privacy kabambe hata namba ya simu kule una ificha haioni mtu!!!!

Pia inakupa room ya research chochote na ukaletwe ma group ya hicho ulichokitafuta mfano wataka ma group ya wauza electronics kariakoo basi yatakuja ni wewe tu kuchagua nk.
 
Ina privacy kabambe hata namba ya simu kule una ificha haioni mtu!!!!

Pia inakupa room ya research chochote na ukaletwe ma group ya hicho ulichokitafuta mfano wataka ma group ya wauza electronics kariakoo basi yatakuja ni wewe tu kuchagua nk.
Hii option n ngeni kwangu
 
Telegram unapakia na kupakua big files,channel,group zaid ya member 2k,video,music,picha mpaka matukio...unataka nini tena
 
Kuna urahisi pia wa kupata magroup kwa wale wazee wapenda magroup,, briefly ni kwamba telegram is the best.
 
Back
Top Bottom