Maalum kwako Utafiti

Maalum kwako Utafiti

hao wazee wa DATAZ wa JF wanajua kilichotokea na kwa nini ile kamati haikuwa PUBLIC lakini jamaa walishamweka MENGI kwenye corner na he was so humiliated na alimshukuru sana ROSTAM kwa kumsaidia through SITTA

By the way nashangaa wazee wa DATAZ wa JF nashangaa wako kimya kuhusus press conference ya KUBENEA juzi na cha ajabu hamjambiwa kwa nini haikufanyika

anyway endeleeni na episodes zenu za kudandia dandia

The bottom line MENGI na ROSTAM walikuwa maswahiba wakubwa sana na sioni sababu gani urafiki wao usirudi kama watakuwa na common interest

Ilikuwa inahusu nini?
 
unabadili tu babu. Ila mie uvumilivu upo so ntaendelea kuwepo

Mi na wewe hatutaachana labda ziraili afanye fitna yake. Na kilogwa akakuwahi, chapchap sana nakufuata hukohuko kichuna wangu. Unakumbuka ahadi yangu? Hata nikikufumania, sikuachi....:redface:
 
Kikoloni jamani, wengine kwenye kipindi chake yulikuwa tunaenda kuwinda sungura.! Muwe mnatusaidia ili tuelewe
 
hongera ingawa mkijongea mbele kidogo pia haitakuwa mbaya kama mazingira yataruhusu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom