Maalum kwako Utafiti

Maalum kwako Utafiti

Huyu mganga wangu wa mbagara huyu ni feki huyu! Leo lazima aiteme elfu tano yangu! Leo wiki imepita tangia 'anitengeneze' ili niandikiwe thread lakini mpaka leo naona wanaandikiwa wakina utafiti tu! Ngoja tu, hakyanani lazima leo anijue!
 
Last edited by a moderator:
Mi na wewe hatutaachana labda ziraili afanye fitna yake. Na kilogwa akakuwahi, chapchap sana nakufuata hukohuko kichuna wangu. Unakumbuka ahadi yangu? Hata nikikufumania, sikuachi....:redface:

hahaahhahahaa, nakumbuka babu ahadi yako. Niende wapi mie babuuuu. Kwengine kote ntapata shida my Asprin
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom