Ya mtende hiyo kaka hahahahha
Mkuu utafiti mimi binafsi nakunywa bia kama avatar yangu inavosisitiza tafadhali
Duh Kaizer mimi sishiki hiyo.....(nashindwa kuitaja) labda muagize miss neddy
unataka kumpa fisi bucha eeeeh hahaha mpe babu asprin amtengeee
mmmh! huo ushauri kuhusu nini labda?
Na sasa niko busy kwa ushairi mahususi kwa ajili ya masai dada, miss neddy na Eshy m.s chini ya uangalizi wa kichunafk
hahahaha shangaa na wewe siafu wanaokula ikulu lol