Maalum kwako Rais Samia, Makamu Dkt. Mpango na Waziri Mkuu Majaliwa kwa kilichotokea usiku katika Kitovu cha Biashara Dar es Salaam

USILOLIJUA SIKU ZOTE NI SAWA NA USIKU WA GIZA. Pole sana Mkuu ila Mimi ndiyo GENTAMYCINE "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" na moja ya Tunu ( Shani ) yangu Kuu ni Kujiamini na kuwa na Uhakika wa Suala ( Jambo ) nilisemalo la Nyanja yoyote ile ndani na nje ya Tanzania.
Sawa mkuu genta,

Next month nina safari Musoma , nikitokea Majita pale nitakupitia Butiama wakati narejea Daslam.

Endelea kutiririka.
 
Naona ndugu unaanza kuiga style za kigogo sasa. Unawavisha tuhuma watu hata huwajui huna uhakika unakuja umesikiliza story za mfanyabiashara.

Serikali ina namna inavyofanyakazi wacha kamati teule ifanye uchunguzi itajulikana kama ni hujuma au natural cause.

Kwa mimi mpita njia sikuridhishwa na siridhishwi na uwingi wa watu uliokuwa umejaa na biaashara zao pale hata ndani ya jengo

Jengo lina umri mrefu na hata tofali lina life span considering other factors kama unyevu, matumizi nk.

Moja ya sababu ya fire kutokutenda kazi timilifu ni biashara zilivyolizonga hilo jengo. Ndani ya jengo kuna biashara nyingi za kemikali kama dawa za mifugo, fumigation ,pembejeo na nadhani top floor iliyoungua kuna ofisi zikiwemo za shirika la usimamizi wa masoko.

Unaweza ukatumika kama unverifiable source of information ila usi hitimishe kwamba huyu na yule ndio anahusika. Yawezekana wewe mwenyewe kiakili hauko sawa una illusions kichwani unaota tuu unatoa taarifa kwa kutumia unsound mind.
 
Sipo Tanzania sasa mwaka wa 11 Mkuu na nipo zangu hapa Herzegovina. Karibu sana kama una Nauli ya kukuleta huku ns huna Corona pia.
 
Nasema hili ( haya ) kama Mzalendo na pia baada ya Kujiridhisha kutoka kwa Wahusika na Wadau eneo la Tukio ( Wafanyabiashara wakubwa ) na Wazoefu eneo hilo kwa Kilichotokea.

Kwa Taarifa za ndani kutokana na 'Umafia' ambazo GENTAMYCINE Mimi nimehakikishiwa na Mmoja wa Mfanyabiashara maarufu na mkubwa hapo ni kwamba Tukio zima lilipangwa na Kuratibiwa vyema Kimkakati wa Kutingisha Serikali ya Rais Samia na Kuikomoa Kiuchumi.

Tafadhali sana naomba Jeshi la Polisi na Mamlaka za Ulinzi na Usalama nchini Tanzania 'Kamateni' haraka wale Watu wote wa iliyokuwa Bodi ya Soko la Kariakoo ambayo ilivunjwa kisha fanyeni nao Mahojiano ya 'Kiadhabu' na yenye 'Umedani' mwingi bila kuwaonea Huruma na Watatajana wote na kuupata Ukweli wote.

Hii siyo mara ya Kwanza kwa Bodi za haya Masoko makubwa nchini ( hasa Dar es Salaam na Mwanza ) ikitokea tu 'zikavunjwa' basi 'Visasi' vyao kwa Mamlaka husika za Manispaa au Wilaya au Mkoa huwa ni Kusababisha Ajali za Moto ili Kukomoa na Kusababisha Hasira na walio wengi.

Mwisho kabisa Mamlaka husika naomba Kamateni Walinzi wote wa Mgambo wanaolinda hapo ( hasa hasa Mkuu wao ) pamoja na Viongozi Wawili wa Soko hilo kwa sasa ili waeleze na hakikisheni Mahojiano yenu nao yawe ni ya 'Kiadhabu' zaidi na hakuna Kuwachekea kwani katika Mpango Mkakati huu wa 'Kimafia' ulioratibiwa na waliofukuzwa na baadhi waliobakia kwa Kushirikiana na Wateule kadhaa wa Rais Samia wamesababisha Tukio hilo zima kutokea na Kusababisha Hasara hiyo Kubwa.

Na kwa jinsi Tukio zima lilivyotokea ( kwa kuanzia ) katika kila Pembe ( Kona ) ya Jengo hilo la Kihistoria na Kitovu cha Biashara Dar es Salaam na Tanzania utagundua kuwa ni Mpango wa Makusudi wa Kulipiza Kisasi na nitawalaani na Kuwachukia mno Tanesco au Tume iliyoundwa ikija na Taarifa ( Ripoti ) kuwa ni Hitilafu ya Umeme ( Mfumo wa Umeme )

Mama ( Rais ) simama Imara tafadhali na nikiwa kama Mzalendo wa Kweli na niliyetukuka tayari nimeshakuambia Wewe, Makamu wako pamoja na Waziri Mkuu wako wapi kwa Kuanzia ili Kuwashikisha Adabu hao Wahuni na 'Mafia' wa Kukuhujumu na Kukuharibia katika huu Uongozi ( Utawala ) wako.
Kwa kweli hatua kali sana inabidi zichukuliwe kwa wahusika kama WAPO maana wameonyesha kudharau, kutojali na kuheshimu uwepo wa Mamlaka kwa kiwango cha hali ya juu sana; ikiwa ni pamoja na kuleta usumbufu kwa wananchi wanaotegemea kupata mahitaji yao hapo.
 
Huna ukijuacho na ukiona GENTAMYCINE nimekuja na Taarifa Muhimu na Nyeti kama hii tafadhali kaa nayo mbali sawa?

Kama ulikuwemo katika ile iliyokuwa Bodi ya Soko la Kariakoo sasa anza Kufanya Mazoezi ya Kunya katika Kisoda na Kuogelea katika Lami yamoto huku Pumbu zako zikifungwa na Mpira kisha zikirushiwa Golori ndogo za Chuma au Tunda za Ndulele.

Mtatajana Wote Wahujumu wakubwa nyie ambao mmejipanga na Kusababisha Tukio hili baya ili mumkomoe Mheshimiwa Rais Samia na Serikali yake kwa Maslahi yenu ya Kifisadi.
Kwa hiyo hutaki tujadili hili habari yako ?
Unataka tulikubali kama ilivyo?
 
Tena nimewaongoza vizuri kabisa ila wasisahau Kukamata Askari wote ( Mgambo ) waliokuwa zamu Juzi na Jana, Kiongozi wao na Viongozi Wawili wa Soko hilo ( wa sasa ) na wahakikishe Wanawahoji Kishalubela ( Kikatili ) kabisa mpaka watajane Wote na waeleze kwanini wamefanya Upumbavu wao huo wa Jana ambao hauvumiliki hata kidogo Mkuu.
Wamefanya ukatili mkubwa wanastahili ukatili mkubwa zaidi hawafai kuwa katika jamii.
 
Naona ndugu unaanza kuiga style za kigogo sasa. Unawavisha tuhuma watu hata huwajui huna uhakika unakuja umesikiliza story za mfanyabiashara.

Serikali ina namna inavyofanyakazi wacha kamati teule ifanye uchunguzi itajulikana kama ni hujuma au natural cause.

Kwa mimi mpita njia sikuridhishwa na siridhishwi na uwingi wa watu uliokuwa umejaa na biaashara zao pale hata ndani ya jengo

Jengo lina umri mrefu na hata tofali lina life span considering other factors kama unyevu, matumizi nk.

Moja ya sababu ya fire kutokutenda kazi timilifu ni biashara zilivyolizonga hilo jengo. Ndani ya jengo kuna biashara nyingi za kemikali kama dawa za mifugo, fumigation ,pembejeo na nadhani top floor iliyoungua kuna ofisi zikiwemo za shirika la usimamizi wa masoko.

Unaweza ukatumika kama unverifiable source of information ila usi hitimishe kwamba huyu na yule ndio anahusika. Yawezekana wewe mwenyewe kiakili hauko sawa una illusions kichwani unaota tuu unatoa taarifa kwa kutumia unsound mind.
Nasisitiza Wakamatwe upesi sana Watu wote wa iliyokuwa Bodi ya Soko la Kariakoo ile iliyovunjwa, Walinzi Mgambo wa zamu Jana na Juzi, Kiongozi wao na Viongozi Wawili wa Uongozi wa sasa wa Soko kisha watasema ni kwanini wamefanya Hujuma hii mbaya na ya Kimafia katika Utawala huu wa Rais Samia Suluhu Hassan.
 
USILOLIJUA SIKU ZOTE NI SAWA NA USIKU WA GIZA. Pole sana Mkuu ila Mimi ndiyo GENTAMYCINE "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" na moja ya Tunu ( Shani ) yangu Kuu ni Kujiamini na kuwa na Uhakika wa Suala ( Jambo ) nilisemalo la Nyanja yoyote ile ndani na nje ya Tanzania.
We sasa mchosho tu,huna msaada na Tz zaidi yakujipaisha.Watu kama ninyi ndio mwishowe huonekana umehusika.Tulia
 
Nasema hili ( haya ) kama Mzalendo na pia baada ya Kujiridhisha kutoka kwa Wahusika na Wadau eneo la Tukio ( Wafanyabiashara wakubwa ) na Wazoefu eneo hilo kwa Kilichotokea.

Kwa Taarifa za ndani kutokana na 'Umafia' ambazo GENTAMYCINE Mimi nimehakikishiwa na Mmoja wa Mfanyabiashara maarufu na mkubwa hapo ni kwamba Tukio zima lilipangwa na Kuratibiwa vyema Kimkakati wa Kutingisha Serikali ya Rais Samia na Kuikomoa Kiuchumi.

Tafadhali sana naomba Jeshi la Polisi na Mamlaka za Ulinzi na Usalama nchini Tanzania 'Kamateni' haraka wale Watu wote wa iliyokuwa Bodi ya Soko la Kariakoo ambayo ilivunjwa kisha fanyeni nao Mahojiano ya 'Kiadhabu' na yenye 'Umedani' mwingi bila kuwaonea Huruma na Watatajana wote na kuupata Ukweli wote.

Hii siyo mara ya Kwanza kwa Bodi za haya Masoko makubwa nchini ( hasa Dar es Salaam na Mwanza ) ikitokea tu 'zikavunjwa' basi 'Visasi' vyao kwa Mamlaka husika za Manispaa au Wilaya au Mkoa huwa ni Kusababisha Ajali za Moto ili Kukomoa na Kusababisha Hasira na walio wengi.

Mwisho kabisa Mamlaka husika naomba Kamateni Walinzi wote wa Mgambo wanaolinda hapo ( hasa hasa Mkuu wao ) pamoja na Viongozi Wawili wa Soko hilo kwa sasa ili waeleze na hakikisheni Mahojiano yenu nao yawe ni ya 'Kiadhabu' zaidi na hakuna Kuwachekea kwani katika Mpango Mkakati huu wa 'Kimafia' ulioratibiwa na waliofukuzwa na baadhi waliobakia kwa Kushirikiana na Wateule kadhaa wa Rais Samia wamesababisha Tukio hilo zima kutokea na Kusababisha Hasara hiyo Kubwa.

Na kwa jinsi Tukio zima lilivyotokea ( kwa kuanzia ) katika kila Pembe ( Kona ) ya Jengo hilo la Kihistoria na Kitovu cha Biashara Dar es Salaam na Tanzania utagundua kuwa ni Mpango wa Makusudi wa Kulipiza Kisasi na nitawalaani na Kuwachukia mno Tanesco au Tume iliyoundwa ikija na Taarifa ( Ripoti ) kuwa ni Hitilafu ya Umeme ( Mfumo wa Umeme )

Mama ( Rais ) simama Imara tafadhali na nikiwa kama Mzalendo wa Kweli na niliyetukuka tayari nimeshakuambia Wewe, Makamu wako pamoja na Waziri Mkuu wako wapi kwa Kuanzia ili Kuwashikisha Adabu hao Wahuni na 'Mafia' wa Kukuhujumu na Kukuharibia katika huu Uongozi ( Utawala ) wako.
Comrade umejipotosha.
Hawawatajwa wahusike kubeba ujinga wa mwendazake aliyeruhusu SOKO HOLELA?
Kariakoo imenjewa/zungishiwa mabanda ya hovyo ya mbao na watu wanalala na kupika kwenye hayo mabanda mnasingizia bodi.

CHUO CHA IFM NA CBE vitafuata,vimezungushiwa mabanda, ngono inanyikahuko mchana, hakuna wa usema, wanafunzi wanavua chupi kwa ujira wa wali nyama.
watu wanalala kweny hayo mauchafu/ mabanda na kupika na kumejaa mitungi ya gesi
 
Haya Mchana huu kautafute Usingizi ukalale tafadhali unaonyesha Kichwa chako hakiko sawa kwa sasa.
 
Hehe haya sawa mkuu,

Ngoja nimshtue CDF aje asome huu uzi.
Fanya upesi mshtue kwani ananikubali ile mbaya na namshukuru pia CDF Jenerali Mabeyo kwa Kuuheshimu Uzi wangu niliouandika hapa hapa JamiiForums Kuzuia Mpango wa Jeshi ( JWTZ ) pale Kawe ( Masai ) kuelekea Posta na Dawasco kutaka Kuruhusu Soko la Mnada Kufanyika pale ambalo lilikuwa lianze Siku Tatu baadae na nikaja na Maelezo yangu ya Jicho langu Kali la Ndege Tai na Kumuomba asiruhusu huo Mnada na kweli Kesho yake nikakuta Kibao cha Kuzuia Mnada huo hapo ambacho hadi leo hii Kibao hicho kipo.
 
Tunataka fidia kwa wafanya biashara upesi sana maana sababu ni nyinyi selikali ndio chanzo wala msisingizie chochote
 
Fanya upesi mshtue kwani ananikubali ile mbaya na namshukuru pia CDF Jenerali Mabeyo kwa Kuuheshimu Uzi wangu niliouandika hapa hapa JamiiForums Kuzuia Mpango wa Jeshi ( JWTZ ) pale Kawe ( Masai ) kuelekea Posta na Dawasco kutaka Kuruhusu Soko la Mnada Kufanyika pale ambalo lilikuwa lianze Siku Tatu baadae na nikaja na Maelezo yangu ya Jicho langu Kali la Ndege Tai na Kumuomba asiruhusu huo Mnada na kweli Kesho yake nikakuta Kibao cha Kuzuia Mnada huo hapo ambacho hadi leo hii Kibao hicho kipo.
Sawa boss ila Mimi kwa kumtaja CDF nilikua namaanisha Chocolate Disorder Fighting.

Ila kama huyo uliyemtaja anakufuatilia basi nikupongeze sana mkuu,

Ama Kwa hakika wewe ni mzalendo uliyetukuka.
 
Back
Top Bottom