Maalum kwa wataalamu wa solar power

Maalum kwa wataalamu wa solar power

Mkuu kwa mimi ninayehitaji kuwa na solar watts 50 na betri n40 je napaswa kuwa na inverter ya watts ngapi ? matumizi yangu ni kuchaji simu kumi tu kwa siku
hakuna haja ya inveta tafuta dc charger utafanya kazi vizuri tu.
 
Back
Top Bottom