Maalum kwa wataalamu wa solar power

Maalum kwa wataalamu wa solar power

Ok9

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2013
Posts
4,556
Reaction score
4,162
Wakuu
Kwa heshima na taadhima naomba kufungua uzi maalumu kwa ajili ya solar.
Kwanzia ubora wa vifaa.... Ufungaji hadi matumizi.

Nianze na mimi nina pv 2 za watt 100 na 200.
Betri n120
Charger control 30apm
Inveter 12v
Matumizi kuchaj simu zaid ya 50 kwa siku na sometimes umeme hautoshi. Hizo pv nimeunga parallel.
Na matumizi ni day only

1. Je nimeunga vizuri?
2 vifaa vinaendana.?
3 kwann umeme hautoshi?

Karibuni
Cc kajole, cyber ghost, iwiva, himawari
 
Inverter unatumia ya watt Ngapi?
Inverter unatumia ya Watt ngapi?
 
hii betri umeionea sana, system yako nzma ni watts 300,betri yatakiwa ya 170Ah..controller upo sahihi. na waya watakiwa kutumia za 4mm^2.
 
hii betri umeionea sana, system yako nzma ni watts 300,betri yatakiwa ya 170Ah..controller upo sahihi. na waya watakiwa kutumia za 4mm^2.
Yap betri ninazo 2 hiyo n120 na n100.
Asa nashindwa kujua nazo niziunge au niwe naweka 1. . 1?
 
hii betri umeionea sana, system yako nzma ni watts 300,betri yatakiwa ya 170Ah..controller upo sahihi. na waya watakiwa kutumia za 4mm^2.
Unapo taka kuziunga battery in parallel hakikisha zote ziwe za size moja otherwise ile kubwa itakuwa inatumika kuicharge ile ndogo wakati jua limezama au ni lazima ufunge diode itakayozuia flow of current backwards.
Yap betri ninazo 2 hiyo n120 na n100.
Asa nashindwa kujua nazo niziunge au niwe naweka 1. . 1?
 
Unapo taka kuziunga battery in parallel hakikisha zote ziwe za size moja otherwise ile kubwa itakuwa inatumika kuicharge ile ndogo wakati jua limezama au ni lazima ufunge diode itakayozuia flow of current backwards.
nashkuru mkuu kwan kwa betrii nikiunga in series nn madhara yake?
 
Wakuu
Kwa heshima na taadhima naomba kufungua uzi maalumu kwa ajili ya solar.
Kwanzia ubora wa vifaa.... Ufungaji hadi matumizi.

Nianze na mimi nina pv 2 za watt 100 na 200.
Betri n120
Charger control 30apm
Inveter 12v
Matumizi kuchaj simu zaid ya 50 kwa siku na sometimes umeme hautoshi. Hizo pv nimeunga parallel.
Na matumizi ni day only

1. Je nimeunga vizuri?
2 vifaa vinaendana.?
3 kwann umeme hautoshi?

Karibuni
Cc kajole, cyber ghost, iwiva, himawari
Kwa system uloifunga kama ni kweli umefunga battery la N120 lilitakiwa lijae fasta sana kama panel zako utakuwa umezifunga in parallel maana utakuwa na total current kama 17.4Amps so kwa hii current na battery lako la N120 utakuta litatumia masaa 6.89 kujaa full lakini inaonekana wewe unafanya kazi ya kuchajisha simu so during charging kuna energy inapotea kutokana kuna loads zipo connected while the battery is charging so ule muda wa battery kuchajiwa mpaka kujaa utaongezeka na pengine kufika hata masaa 11 ambayo kiuhalisia kwa tropical countries hatuna peak sun hours za masaa 11 nchi nyingi za tropical ni 6-7 hours so unatakiwa upate kiwango cha current (load) kinachotumia direct wakati battery linapokuwa linachajiwa ili uweze kujua uongeze panel ya ukubwa gani kuweza kubalance kati ya charging time na hizo direct connected loads zako.pia kujua system yako inauwezo wa kukupa backup time ya muda gani inakubidi ujue watts za vifaa vyako vyote(watts) halafu uchukue battery capacity uzidishe na system voltage yako(Wh) then chukua Wh/W upate hours ambazo zitakuwezesha kujua backup time yako.
 
Kwa systemloifunga kama ni kweli umefunga battery la N120 lilitakiwa lijae fasta sana kama panel zako utakuwa umezifunga in parallel maana utakuwa na total current kama 17.4Amps so kwa hii current na battery lako la N120 utakuta litatumia masaa 6.89 kujaa full lakini inaonekana wewe unafanya kazi ya kuchajisha simu so during charging kuna energy inapotea kutokana kuna loads zipo connected while the battery is charging so ule muda wa battery kuchajiwa mpaka kujaa utaongezeka na pengine kufika hata masaa 11 ambayo kiuhalisia kwa tropical countries hatuna peak sun hours za masaa 11 nchi nyingi za tropical ni 6-7 hours so unatakiwa upate kiwango cha current (load) kinachotumia direct wakati battery linapokuwa linachajiwa ili uweze kujua uongeze panel ya ukubwa gani kuweza kubalance kati ya charging time na hizo direct connected loads zako.pia kujua system yako inauwezo wa kukupa backup time ya muda gani inakubidi ujue watts za vifaa vyako vyote(watts) halafu uchukue battery capacity uzidishe na system voltage yako(Wh) then chukua Wh/W upate hours ambazo zitakuwezesha kujua backup time yako.
Ni kweli.
Hii natumia muda wote so moto kidg inahifadhiwa. Ngoja niziunge in parrallel then ntakujuza
 
Wakuu heri ya mwaka huu.
mimi ninataka kuwa na umeme mbadala kwaajili ya mashine ya kuangulia vifaranga.
je ni nunue vifaa vya uwezo gani kuweza kuiendesha?

mashine yenyewe ni ya watts 100. 220v

(natanguliza shukrani)
 
Wakuu
Kwa heshima na taadhima naomba kufungua uzi maalumu kwa ajili ya solar.
Kwanzia ubora wa vifaa.... Ufungaji hadi matumizi.

Nianze na mimi nina pv 2 za watt 100 na 200.
Betri n120
Charger control 30apm
Inveter 12v
Matumizi kuchaj simu zaid ya 50 kwa siku na sometimes umeme hautoshi. Hizo pv nimeunga parallel.
Na matumizi ni day only

1. Je nimeunga vizuri?
2 vifaa vinaendana.?
3 kwann umeme hautoshi?

Karibuni
Cc kajole, cyber ghost, iwiva, himawari
Mkuu hapo gharama zote zinaweza fika kiasi gani kwa sasa.
 
Hakukuwa na ulazima wa kutumia DC~AC inverter unaweza kutumia DC multi na kazi yako ikafaana
 
inveta haina maana hapo ni kuongeza items zenye uhitaji mdogo, toa iyo then fanya kama Kwekitui alivyo suggest
 
Wazo nililonalo na naliomba litimie nahitaji kuondoka kijijini na Solar energ Watts 50 Battery =N40 pamoja na invetor ili inisaidie kukuza umeme na uwe wa uhakika maana solar na betri pekee sina imani ila nataka niwe na uwezo wa kuchaji simu 10 kwa simu pamoja na kupiga mziki hata masaa matatu au manne zaidi ,je kwa huu uzi wangu itawezekana
 
Inverter unatumia ya watt Ngapi?
Inverter unatumia ya Watt ngapi?
Mkuu kwa mimi ninayehitaji kuwa na solar watts 50 na betri n40 je napaswa kuwa na inverter ya watts ngapi ? matumizi yangu ni kuchaji simu kumi tu kwa siku
 
Back
Top Bottom