Maalum kwa wanaotengeneza vyakula vya mifugo.

Maalum kwa wanaotengeneza vyakula vya mifugo.

Busekela

Member
Joined
Mar 7, 2018
Posts
97
Reaction score
67
Ndugu wadau,
Hii ni maalumu kwa wale wanaotengeneza vyakula vya mifugo walioko Dsm,natafuta Mteja Wa lake shells(magamba ya konokono) njoo na bei yako kwa kg.
images.jpg
 
Back
Top Bottom