Maalum kwa wababa

Afadhali kama bado yupo. Nunua kitu mpelekee, atafurahi.
 
Nina 5. Kids....dada wa kazi na wife...watoto watatu wanasoma ada 2m, kila moja bila usafiri...

Lazma wale ,umeme,maji,school bus, na meengineyo

Aisee acha kabisa napambana hadi nakoma ila nashkuru hhawalali na njaa...
 
mkuu kuna story moja ya lucy dube alkuwa anaperfome jukwaa kuna mlev akamwambai lucy .

tuimbie Remember Me

lucy akasem simamisha vyomb vyote vya mzik natak kuongea kdg
 
Pamoja sana wababa wote wenye majukumu. Tunakuja huko soon or later. Hustle ziendelee.
 
R.I.P mshua wangu!Nakumbukq nilipomaliza Darasa la saba nilifaulu nikakataa kusoma.Mshua alinikomalia kwa kumuogopa nikaanza kusoma kidato cha Kwanza.Leo hii na Mimi mlamba asali wa jamhuri.Ila inaniumq siku nimeanza kulamba asali ukaondoka kwenye hii Dunia.Namkumbuka Sana mashua,huwa namwambia wife namna mzee alivyopambana kwa ajili ya familia yake.R.I.P mzee wangu.
 
Ikaishia wapi?
ukumbi mzima ulikaa kmya kusikiliza busara za lucy dube

lucy akaeleezea kuwa album ambaz zipo nyimbo ya remember me na prisoner na nyngne . huwa apendi kuziimba kwa sababu aliandika ile album akiwa na machungu mengi sana.

akasem licha ya kuwa baba yake alimtelekeza lakini ana kinyongo nae hata kdg na yeye kawa mkubwa na anaitw baba kashajua kuwa baba ni kazi kubwa sana sio nyepesi .

akamaliza kuongea ikawekwa remember me raia wakaruka .

lakini kumbuka lucy dube aliuliwa kuna story nyingine kuhusu lucy dube kuhusu kifo chake na story kuhusu baba yake lucy dube alikuwa wapi je alionana na lucy dube
 
Aah okay! Nimekusoma mkuu! Sasa si ungemalizia tu na hiyo story nyingine tujue whether waliwahi onana au la,na kuhusu hiyo story ya kifo chache! Shusha nondo mkuu! To me Lucky Phillip Dube was a prophet
 
R.I.P dad, i don't hold any grudges...i could've loved you anyway [emoji24]
 
Nimesoma hii baada ya hapo nikashusha pumzi...saiv naona joto la jiwe maisha yako juu san kwa siku bajeti ni kubwa mno kazi zenyew hiz mpk mishahara mwisho mwez bado ukipata ukalipe maden dah🥲

unakaa unawaza familia ndani ipate mlo yan unafikiria mitaa 100 mbele,unawaza ya kesho na keshokutwa sisi wababa tunabeba mizigo mikubwa sana kichwan kwetu alaf hatuna pakusemea tunabaki nayo rohoni

Mungu atujalie wababa wote tunaolea familia zetu kwa nguvu zote atupe wepesi familia zetu zisije kulala njaa tunaangaika huku na kule tunaingia kwenye maden makubwa ili tu familia ipate kula vizur
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…