Maalim Sharif Seif Hamad "No comment"

Maalim Sharif Seif Hamad "No comment"

naona leo Mr Chin kaamua kuweka silaha chini ameona kua moto wa huyu jamaa ni hatari..

Huyu ndio raisi wa zanzibar SAWASAWA
Mimi ninaonyesha jinsi Maalim alivyo mroho wa madaraka mpaka kuita Mapadri wamuombee. Yaani hana hata aibu.
 
Mtukufu Rais wetu anaombewa na wa waZNZ wote
 
Huyo ndie lais wa znz na pemba
Na kama hutaki shauli yako
 
Mimi ninaonyesha jinsi Maalim alivyo mroho wa madaraka mpaka kuita Mapadri wamuombee. Yaani hana hata aibu.

Kumwombea mtu ni uroho wa madaraka ??? Hivi nyie wafuasi wa ccm mmelishwa nini ??
 
Unapokuwa rais wa nchi; upende usipende, utaombewa na dini zote! Tafadhali msimbugudhi Maalim.
Sawasawa?
 
Bora yeye anayeombewa kuliko wanaoshindana kwenda mlingotini bagamoyo na kukata viungo vya albino
 
Huyo hata akiombewa na wachungaji Milioni moja, hato upata Urais kama rafiki yake Lowassa.

Kwa kudhulumiwa na kuibiwa ??kamwulize Gadaffi na Hosni Mubarak nguvu ya wananchi ni kubwa kuliko vifaru vilivyotumwa Zanzibar
 
Huna huo ubavu. Kama ungekuwa nao, unasubiri nini sasa/ Nenda kaanzishe vanga uote cha mtemakuni.
 
Kumwombea mtu ni uroho wa madaraka ??? Hivi nyie wafuasi wa ccm mmelishwa nini ??

Yaap ni uroho wa madaraka. Kwanini asimuule Mwenyezi Mungu kama atakuwa Rais au hatokuwa Rais? Huyo jamaa ni mnafiki na mroho wa madraka kama yule EL.
 
Wakati anaapishwa magufuli yule sheikh ,askofu na cardinali walienda kufanya nini ???
El angekua mnafiki na mroho wa madaraka unafikiri sasa hivi ungekua hapa jamii forum unahoroja ,punguani wahed wewe
 
Waambie hao mazuzu wa twaweza!!
 
Back
Top Bottom