Ndugu wadau !
Kwa hakika mimi binafsi bado napata ugumu wa kuamini eti Maalim alikwenda kwa mapenzi yake mwenyewe kupumzika hapo SERENA HOTEL !! bado najiuliza maswali haya na mwenye majibu naomba aniweke sawa... !
Kwanza kwanini wakati anatoka znz kuja Dar alipata mshtuko wa ghafla na kupelekwa hospital ? ? Je hii safari aliipanga yeye kweli au alilazimishwa ???
Je kama alilazimishwa , hii siyo kwamba aliwekwa chini ya ulinzi kwa muda kupisha uchaguzi Haramu upite 'house arrest' mimi nauliza tu ?
Kama siyo hivyo mbona baada ya uchaguzi tu kawa huru na kurejea znz ?? Mimi nauliza tu jamani ??
LAKINI kama ni "house arrest" ya kiaina basi upinzani TZ usahau kuja kutawala nchi hii. Lakini tusubiri labda Maalim ataropoka chochote kabla na yeye hajaelekea mbele ya haki.
CCM OYEEE !
Wasalaam