misasa
JF-Expert Member
- Feb 5, 2014
- 13,643
- 9,339
Kama una akili timamu unaweza kujiuliza kidogo kwamba mbona pamoja na Maalim kuwepo CUF lakini bado Chadema ilikuwa chama kikuu ?Zama za siasa nchini kubadilika leo na kuchukua mwelekeo mpya. Endapo Maalim Seif ataomba kujiunga na ACT wazalendo binafsi nitafurahi sana kwani itakuwa ndio mwisho wa udikteta na Umangimeza wa Mbowe.
Tutapata Chama kingine kikubwa Tanzania. Wote waliochoshwa na udikteta wa Mbowe watahamia ACT kama hawataki kuja CCM. Pia mbwe mbwe za Mbowe zitaisha.
Nitasubiri Lisu na baadhi ya Wana CCM nao wahamie ACT siku za baadae.
Sent using Jamii Forums mobile app
Subiri maalimu Seif aongee mchana huu.......usishangae hata Prof Safari akahamia ACT wazalendo!kuna kitu hukijui mjomba
Hofu yako inatoka wapi ? wewe team Lipumba haya ya akina Seif yanakuhusu nini ?Subiri maalimu Seif aongee mchana huu.......usishangae hata Prof Safari akahamia ACT wazalendo!
Hapa nani amepoteza mechi?Haahahah, Asante Maalim Seif, Lipumba ajenge ofisi zake chini ya ccm
Sent from my iPhone using Tapatalk
Chadema inaingiaje hapo?
Enelisamwakapala hii ni leo mahakamani wakati wa kusikiliza hukumu ya kesi ya Lipumba..hebu angalia hapo uso wa boss mkuubwa wa Chadema huko Zanzibar.Utaelewa ifikapo 2020 mankya!
Kivipi maalimu ni nani chadema?acha kujidanganya.Na huo ndio mwisho wa chadema!
Dola na SSM itakuja kuzichukua hizo Afisi kwa Mabavu na kumpatia Propesa Lipu
Ccm hawaitakii mema hii nchi, tunakoelekea siyo pazuri , raia wataanza kuchinjana mchana kweupeDola na SSM itakuja kuzichukua hizo Afisi kwa Mabavu na kumpatia Propesa Lipu
Sent from my TECNO CX Air using Tapatalk
Huyu mtoto kama vile alibakwa na Mbowe,yaani hawezi andika andiko bila kumtaja Mbowe.Mkuu Benson Mramba, nakuonea huruma sana. Unatia aibu kwa kuwa na chuki na Mbowe ambaye hata hana time wala attention na wewe. Hivi Mbowe na CHADEMA wana upekee gani hadi wakunyime usingizi hivyo? Poor you!
I wish you could know how much you refkect your poorness. Bora tu usicomment kuliko kuharishia humu kila ukija.Zama za siasa nchini kubadilika leo na kuchukua mwelekeo mpya. Endapo Maalim Seif ataomba kujiunga na ACT wazalendo binafsi nitafurahi sana kwani itakuwa ndio mwisho wa udikteta na Umangimeza wa Mbowe.
Tutapata Chama kingine kikubwa Tanzania. Wote waliochoshwa na udikteta wa Mbowe watahamia ACT kama hawataki kuja CCM. Pia mbwe mbwe za Mbowe zitaisha.
Nitasubiri Lisu na baadhi ya Wana CCM nao wahamie ACT siku za baadae.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha. Kumbe lengo lenu ni kuona CDM inakufa, mtasubiri sana aaseeZama za siasa nchini kubadilika leo na kuchukua mwelekeo mpya. Endapo Maalim Seif ataomba kujiunga na ACT wazalendo binafsi nitafurahi sana kwani itakuwa ndio mwisho wa udikteta na Umangimeza wa Mbowe.
Tutapata Chama kingine kikubwa Tanzania. Wote waliochoshwa na udikteta wa Mbowe watahamia ACT kama hawataki kuja CCM. Pia mbwe mbwe za Mbowe zitaisha.
Nitasubiri Lisu na baadhi ya Wana CCM nao wahamie ACT siku za baadae.
Sent using Jamii Forums mobile app