maoniyangu
Member
- Jul 9, 2011
- 53
- 4
huyu bwana ana uchu wa madaraka. anachotaka yeye ni power tu hana jipya.
Hii kali NIMEIPENDA...!Hii naifananisha na mtu aliyekwisha chumbiwa akasema ''ukinitwanga ndoa tu nahamia kwako''. Yupo ccm tayari anasubiri ndoa kamili.nadhani kanogewa na madaraka!
ebu tupe undani wake we unaemjua vizuri!!ni kibaraka wa ccm ee?Usitake kupotosha watu Mkuu Moses maana hata sisi tumesikia.Alichosema Maalim Seif ni kuwa "walinambia kuwa sasa tuna Serikali ya Umoja wa Kitaifa, si urudi tu CCM?. Mimi niliwambia labda niwe Mwenyekiti" Au words to that effect.Sasa ho ni tofauti kabisa na unavyotaka watu waamini.Nadhani humjui Maalim Seif wewe.
Na wewe huna hakika, usiweke quotes kama huna hakika, just hush!Usitake kupotosha watu Mkuu Moses maana hata sisi tumesikia.
Alichosema Maalim Seif ni kuwa "walinambia kuwa sasa tuna Serikali ya Umoja wa Kitaifa, si urudi tu CCM?. Mimi niliwambia labda niwe Mwenyekiti" Au words to that effect.
Kwa mujibu wa mahojiano yatakayorushwa Jumatatu na ITV, Maalimu Seif Sharif Hamad (Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar), amesema yuko tayari kujiunga na Chama Cha Mapinduzi, ikiwa tu atapewa nafasi ya Uenyekiti. Na kwa mujibu wake kwa sasa hakuna jambo la Msingi ambalo serikali ya CCM inafanya makosa.
My take:
Historia inajirudia mashaka yangu ipo siku chama kikuu cha upinzani bara, kitaanza kukiona CCM kizuri ilimradi tu kipewe nafasi serikalini
Hata kwa ulivyo andika wewe bado ujumbe ni ule ule kuwa katamka kuwa anaweza kurudi CCM. Every man has his price and he just named his. Sasa wewe sijui unataka watu waelewe vipi.
Hata Rejao akipewa position CDM atabilisha msimamoTanzania hamna mpinzani wa kweli. Watu wapo kimaslahi zaidi. Hata FF akipewa position CDM anabadilisha kabisa mrengo wake!