Developer IOS
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 1,457
- 1,409
Habari wakuu,natumai ni wazima wa afya.Watu waliowengi wanapenda kushadadia mambo bila kujua historia ya hayo mambo ningependa kutoa ushauri tupende kusoma historia japo kidogo kabla ya kuanza kuwashadadia hawa tunaoita wapinzani ambao ukiangalia wengi wao utakuta wanachowaaminisha wafuasi wao na dhamira iliyokuwepo mioyoni mwao ni vitu viwili tofauti.Naomba msiuunganishe uzi huu na nyuzi nyingine kama mlivyofanya kwenye uzi wangu wa kumtaka mbowe ajiuzuru kupisha mabadiliko ndani ya chadema na uzi wa hali ya magereza.
Maalim seif ni mwanasiasa mwenye uchu na uroho wa madaraka ambaye yupo radhi kufanya lolote kwa ajili ya madaraka ndo maana sikushangaa alipogoma kufanya kazi tena na pro lipumba pia na mchakato wake wa kukiuza cuf bara ndani ya chadema ili abaki na cuf visiwani.Juzi nilipata bahati ya kupiga story na mwanachama na kiongozi wa cuf nikajifunza mengi kuhusu seif.Seif ni mnafiki kuwah kutokea katika siasa za Tanzania na mtu ambaye aliwamaliza kwa figisu figisu wapinzani wake wa kisaisa mfano Hamad Rashid ambaye alikuwa mtu muhimu na aliyepigania chama kwa pesa yake aliwezesha kujengwa kwa tawi la cuf Titanic.Pia seif ni katibu mkuu wa cuf Taifa lakini kwa kiasi kikubwa aliitenga cuf bara hakuwahi hata siku moja kufanya ziara ya kukiimarisha chama bara.
Kila siku najiuliza je seif anapigania nini?Anapigania kuwa Rais au kuwasaidia wananchi wa zanzibar na kama anapigania serikali tatu kama anavyodai tunakumbuka kuwa seif huyo huyo ndio aliyempeleka abdu jumbe kwa nyerere baada ya abdu jumbe kuanzisha mipango ya kudai serikali tatu akidhani nyerere atampa urais bila kudhani kuwa nyerere alikuwa na akili nyingine.Pia endapo maalim atahaidiwa urais yupo radhi kurudi ccm lakini misingi ya ccm haitaki viongozi waroho kama maalim
IKULU NI MAHALA PATAKATIFU SIO LANGO LA WALANGUZI