Maalim Seif: Muungano lazima ujadiliwe

Maalim Seif: Muungano lazima ujadiliwe

Baada ya kuona 2015 inakaribia anatafuta umaarufu ili aendelee kushika ile nafasi yake ya kudumu ya kugombea urais

kweli tena viongozi wa cuf ndo hao hao kila kipindi cha uchaguzi kwani cuf hawana mtu mwingine
 
Mh! Anatikisa kiberiti ili tusijue yuko upande gani ila janja yake wajanja zaidi yake washaijua nampa pole sana maana mwisho wake kisiasa inaonekana
 
Wanaangaika sana Raisi analalamika na wananchi wanalalamika sasa sijui nani wa kumsaidia mwenzake
 
Wanaangaika sana Raisi analalamika na wananchi wanalalamika sasa sijui nani wa kumsaidia mwenzake

Kwani kutoa maoni nako ni kulalamika???? Kwa HAKIKA kiswahili hakikustahiki kuitwa lugha ya Taifa la Tanzania!!
 
Back
Top Bottom