Maalim Seif: Mimi ndio Rais wenu

Maalim Seif: Mimi ndio Rais wenu

Jamani tupeane taarifa za uhakika! Ila tuwe na subira juu ya mgogoro huu!
Uhakika ni kuwa CCM na Tume ZEC katika mzunguko huu iliokwisha wameshindwa kufunga goli la mkono (Maradona style) na ndio sababu wanataka uchaguzi urudiwe. Huu uliopo si mgogoro, ni uhuni tu na ung'ang'anizi wa madaraka wa CCM.

Upo uzi wa dada Faiza nimeona kule kuna mchangiaji ameweka vivuli vya matokeo na zile fomu za matokeo zilizosainiwa na mawakala wa vyama na masimamizi wa kituo .

Wakati CCM bara (NEC) wanasema uchaguzi umekwisha, tusonge mbele. CCM Zanzibar wamekusudia kutumia kila mbinu chafu ili na wao watangazwe "mshindi".
 
Maalim kwa nn aogope kurudia Uchaguzi wakati wapiga kura ni wale wale kama walimpigia kura si watampigia tena? Maalim ni mvunja Muungano kwa Maslahi mapana ya Taifa letu tushirikieni kuilinda Znz kuangukia kwny Mikono ya Adui
Urudiwe kwa nini?
 
Back
Top Bottom