Muheshimiwa Seif Sharif Hamad historia itamkumbuka kama mzanzibar aliyechangia kwa kiasi kikubwa amani visiwa, hii tofauti iliyopo kati ya CCM na CUF ikumbukwe ni ya kihistoria na kwa njia hii tu ufa unaweza kuzibwa SERIKALI YA UMOJA WA KITAIFA. Itakuwa bora Dr Shein akimpa uwaziri kiongozi na wakiweza kudumisha amani na kusaidia Zanzibar kusonga mbele nachelea kusema Nobel Peace Price haitanishangaza. Pia ikumbukwe Maalimu na Mrema waliitwa Msasani kipindi fulani na Mwalimu kwa wakati tofauti, mzee wa kiraracha alipotoka hapo akaanza matusi kwa mwalimu, Maalimu hakusema nini waliongea lakini sote tunajua Mwalimu alikuwa anataka serikali ya umoja wa Kitaifa. Kauza roho na kura za wazanzibar? Kwa mujibu wa muafaka na ukweli halisi wa siasa visiwani njia pekee ni serikali ya umoja wa kitaifa, utaona baraza la wawakilishi litakavyokuwa Lady labda utaelewa.:smile: SIKUMPYA ZANZIBAR