Maalim Seif mfano wa kuigwa kwa ustaarabu wa kukubali matokeo


Wakuletwa

Wakuletwa

Senior Member
Joined
Oct 31, 2010
Messages
134
Likes
0
Points
33
Wakuletwa

Wakuletwa

Senior Member
Joined Oct 31, 2010
134 0 33
Kaonyesha uungwana na ukomavu wa hali ya juu tumuunge mkono, kweli muafaka ulikuwa muhimu sana huko Zenji kwani tofauti ya kura ni ndogo sana.
 
A

A Lady

Senior Member
Joined
Apr 28, 2009
Messages
103
Likes
0
Points
0
A

A Lady

Senior Member
Joined Apr 28, 2009
103 0 0
Maalimu ameuza roho na kura za wazanzibari!
 
Consultant

Consultant

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2008
Messages
7,321
Likes
9,482
Points
280
Consultant

Consultant

JF-Expert Member
Joined Jun 15, 2008
7,321 9,482 280
Ile speech aliiandaa ghafla baada ya kupata matokeo pale? - I doubt.
 
M

Mwafrika

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2006
Messages
5,490
Likes
17
Points
0
M

Mwafrika

JF-Expert Member
Joined Nov 20, 2006
5,490 17 0
itabidi Kikwete naye amuige Maalim Seif kwa kukubali matokeo
 
M

Malunde

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2010
Messages
321
Likes
38
Points
45
M

Malunde

JF-Expert Member
Joined Jun 16, 2010
321 38 45
Sisiemu Ubungo na kwingineko igeni mfano huu matokeo yatangazwe haraka
 
Sufa

Sufa

Member
Joined
Nov 26, 2006
Messages
30
Likes
1
Points
15
Sufa

Sufa

Member
Joined Nov 26, 2006
30 1 15
Muheshimiwa Seif Sharif Hamad historia itamkumbuka kama mzanzibar aliyechangia kwa kiasi kikubwa amani visiwa, hii tofauti iliyopo kati ya CCM na CUF ikumbukwe ni ya kihistoria na kwa njia hii tu ufa unaweza kuzibwa SERIKALI YA UMOJA WA KITAIFA. Itakuwa bora Dr Shein akimpa uwaziri kiongozi na wakiweza kudumisha amani na kusaidia Zanzibar kusonga mbele nachelea kusema Nobel Peace Price haitanishangaza. Pia ikumbukwe Maalimu na Mrema waliitwa Msasani kipindi fulani na Mwalimu kwa wakati tofauti, mzee wa kiraracha alipotoka hapo akaanza matusi kwa mwalimu, Maalimu hakusema nini waliongea lakini sote tunajua Mwalimu alikuwa anataka serikali ya umoja wa Kitaifa. Kauza roho na kura za wazanzibar? Kwa mujibu wa muafaka na ukweli halisi wa siasa visiwani njia pekee ni serikali ya umoja wa kitaifa, utaona baraza la wawakilishi litakavyokuwa Lady labda utaelewa.:smile: SIKUMPYA ZANZIBAR
 
Masanilo

Masanilo

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2007
Messages
22,300
Likes
229
Points
160
Masanilo

Masanilo

JF-Expert Member
Joined Oct 2, 2007
22,300 229 160
Hii haikuwa kitu cha kustaajabisha hakuwa na namna maalim Seif! Hongereni tunapenda maendeleo yawepo huko visiwani. Kitu Muhimu huu muungano uangaliwe upya kama inawezekana imarishwe kwa maslahi ya pande zote za muungano si kuwa kamailivyo sasa Zanzibar inamezwa na bara!
 
X-PASTER

X-PASTER

Moderator
Joined
Feb 12, 2007
Messages
11,649
Likes
141
Points
160
X-PASTER

X-PASTER

Moderator
Joined Feb 12, 2007
11,649 141 160
 
Last edited by a moderator:
Mchizi

Mchizi

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2009
Messages
1,157
Likes
1,803
Points
280
Mchizi

Mchizi

JF-Expert Member
Joined Apr 23, 2009
1,157 1,803 280
Kakubali kwa kuwa ana mategemeo ya kuwa waziri kiongozi kwenye serikali ya umoja, aombe shein aendelee kuwa na busara asichakachuliwe na kina ben mkapa
 
Mhafidhina

Mhafidhina

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2008
Messages
548
Likes
8
Points
0
Mhafidhina

Mhafidhina

JF-Expert Member
Joined Feb 6, 2008
548 8 0
Kwa kweli hii hotuba imenigusa sana, Maalim Sefu amepevuka kisiasa. Ametumia maneno makali lakini kwa ustaarabu mkubwa sana.
 
M

mzalendo2

Senior Member
Joined
Oct 28, 2010
Messages
119
Likes
1
Points
0
M

mzalendo2

Senior Member
Joined Oct 28, 2010
119 1 0
clip nzuri na ina ujumbe mzuri
 
M

mzalendo2

Senior Member
Joined
Oct 28, 2010
Messages
119
Likes
1
Points
0
M

mzalendo2

Senior Member
Joined Oct 28, 2010
119 1 0
Kwa kweli hii hotuba imenigusa sana, Maalim Sefu amepevuka kisiasa. Ametumia maneno makali lakini kwa ustaarabu mkubwa sana.

kwa kweli hata mm imenitouch ina ujumbe mzito sana, maana ukifasiri waweza tunga kitabu

all in all ni uamuzi wa busara kilichobaki ni kujenga nchi
 
I

Ibnabdillahi

Member
Joined
Oct 31, 2010
Messages
39
Likes
0
Points
0
I

Ibnabdillahi

Member
Joined Oct 31, 2010
39 0 0
Inshaalah nadhani naye SLAA ,Atakubali matokeo,ila ajue kwa Bara hamna cha serikali ya Kitaifa,Najua baada ya matokeo atatundika SILAHA ZAKE,watanzania siwajinga hatuwezi kumpa uongozi mtu aliyevaa nguo za KIDIKTETA
 

Forum statistics

Threads 1,249,648
Members 480,983
Posts 29,706,193