Muheshimiwa Seif Sharif Hamad historia itamkumbuka kama mzanzibar aliyechangia kwa kiasi kikubwa amani visiwa, hii tofauti iliyopo kati ya CCM na CUF ikumbukwe ni ya kihistoria na kwa njia hii tu ufa unaweza kuzibwa SERIKALI YA UMOJA WA KITAIFA. Itakuwa bora Dr Shein akimpa uwaziri kiongozi na wakiweza kudumisha amani na kusaidia Zanzibar kusonga mbele nachelea kusema Nobel Peace Price haitanishangaza. Pia ikumbukwe Maalimu na Mrema waliitwa Msasani kipindi fulani na Mwalimu kwa wakati tofauti, mzee wa kiraracha alipotoka hapo akaanza matusi kwa mwalimu, Maalimu hakusema nini waliongea lakini sote tunajua Mwalimu alikuwa anataka serikali ya umoja wa Kitaifa. Kauza roho na kura za wazanzibar? Kwa mujibu wa muafaka na ukweli halisi wa siasa visiwani njia pekee ni serikali ya umoja wa kitaifa, utaona baraza la wawakilishi litakavyokuwa Lady labda utaelewa.:smile: SIKUMPYA ZANZIBAR
Hii haikuwa kitu cha kustaajabisha hakuwa na namna maalim Seif! Hongereni tunapenda maendeleo yawepo huko visiwani. Kitu Muhimu huu muungano uangaliwe upya kama inawezekana imarishwe kwa maslahi ya pande zote za muungano si kuwa kamailivyo sasa Zanzibar inamezwa na bara!
Kakubali kwa kuwa ana mategemeo ya kuwa waziri kiongozi kwenye serikali ya umoja, aombe shein aendelee kuwa na busara asichakachuliwe na kina ben mkapa
Inshaalah nadhani naye SLAA ,Atakubali matokeo,ila ajue kwa Bara hamna cha serikali ya Kitaifa,Najua baada ya matokeo atatundika SILAHA ZAKE,watanzania siwajinga hatuwezi kumpa uongozi mtu aliyevaa nguo za KIDIKTETA
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.