Mkuu Chakaza, nauliza tuu, hivi kuna mwana CCM wa ukweli analia?.
P
Nafikiri "wa ukweli" hakuna anayelia, maana wa ukweli wote wemejiweka pembeni na CCM hii ya sasa.Mkuu Chakaza, nauliza tuu, hivi kuna mwana CCM wa ukweli analia?.
P
Wadau MNA terminologies hatareNafikiri "wa ukweli" hakuna anayelia, maana wa ukweli wote wemejiweka pembeni na CCM hii ya sasa.
CCM hii ya mzee baba na Msomi wetu Bashiru na mdogo wangu Hamphrey? Ni ccm documents tuu na sio ccm ideology
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiangalia hivi kweli sasa hivi ile CCM kama chama cha siasa IPO kweli?Wadau MNA terminologies hatare
Sasa sio kindakindaki verses maslai
Wala sio masalia tena ni documents Vs Ideology.
Wacha waisome Namba wameipenda wenyewe
Daah! Mkuu P, wewe endelea kunifurahisha tu na nyuzi zako.Mkuu Chakaza, nauliza tuu, hivi kuna mwana CCM wa ukweli analia?.
P
Huwaoni buku7 humu wanavyokuja na nyuzi tofauti tofauti kuhusu maalimMkuu Chakaza, nauliza tuu, hivi kuna mwana CCM wa ukweli analia?.
P
Kwani kuna CCM wa kweli na Wauongo?Mkuu Chakaza, nauliza tuu, hivi kuna mwana CCM wa ukweli analia?.
P
Imekula kwao oowalidhani atakata rufaa then wampige danadana mpaka uchaguzi huooo ila MAALIM akawastukia akasepa chapu wakabaki wamepigwa butwaa!
sasa hivi wanaruka na kukanyagana kama mgambo wa juma nature
Mkuu Paskali CCM kuna MAFIKIZOLO(MAKONKI),INZILE(CCM MPYA) NA GWEREGWERE(WAUNGA MKONO JUHUDI).Mkuu Chakaza, nauliza tuu, hivi kuna mwana CCM wa ukweli analia?.
P
Hao gweregwere ndio wanapelekeshwa. Wanaume wa kundi hilo wanatia aibu sanaMkuu Paskali CCM kuna MAFIKIZOLO(MAKONKI),INZILE(CCM MPYA) NA GWEREGWERE(WAUNGA MKONO JUHUDI).