Ujinga naukubali ZEC imetoa sababu 9 siyo 8
(1) wajumbe makamishna kuzichapa ngumi hii inaondoa uwezekano wa kikao busara ya mwenyekiti imetumika
(9)idadi ya waliopiga kura kwenye vituo hasa Pemba ni kubwa/wengi kuliko waliojiandikisha
Kama ni kweli ZEC inahaki ya kufuta uchaguzi pamoja na matokeo yake.
Hoja ije hapo sababu alizotoa mwenyekiti ni za kweli? Siyo kuleta blabla
NB; ZEC ndiyo inaandikisha ina orodha ya majina ya wapiga kura haihitaji degree ktk hilo
Hapo ambapo Rais wa zanzibar ni miongoni mwa wajumbe wa baraza la mawaziri ndo panapo waumiza kichwa hapo ndo penye utata ndio maana jamaa hawataki kukabidhi nchi.
Rais wa Zanzibar aondolewe kwenye baraza la Muungano kikatiba.Rais atateua baraza lake.hatutaki masumbwi ktk baraza kama ilivyokuwa NEC
Ni ngumu sana kudhani kwamba Uchaguzi hautarudiwa kwa mujibu wa Katiba ya Zanzibar, Tume hii ina wawakilishi toka CCM na CUF.
Tume ndiyo inatangaza matokeo toka majimbo lalini Tume ndiyo inafanya kazi ya kuandikisha wapiga Kura kabla ya Uchaguzi, hii ina maana gani? Tume ina idadi ya wapiga Kura wote kwa idadi ya Majimbo na vituo vya kupiga Kura.
Endapo itatokea tofauti ya wapiga Kura hasa kama idadi yao itaongezeka Tume itafuta Uchaguzi hiyo ni Haki yake.
Tume imetoa sababu 9 kwa nini imefuta Uchaguzi
1. Makamishna walivua mashati ili kutwangana makonde
9. Idadi ya wapiga Kura ilikua kubwa kuliko waliojiandikisha.
Ktk hali hiyo kinachotakiwa ni tafsiri tu ya Katiba kuhusu majukumu ya ZEC inapotokea hali kama hiyo.
Maalim Seif anazo nakala za matokeo. Je; ni utaratibu mgombea mmoja wapo kupewa nakala za matokeo? Ilikuwaje yeye akawa nazo wakati ana wawakilishi? Hii haithibitishi kuwa makamishena wa ZEC waligeuka kuwa wawakilishi wa vyama vyao. Pale idadi ya kura zinazidi wapiga kura waliojiandikisha katika daftari la wpiga kura, ZEC ifanye nini aeleze Maalim Seif. Pale kura zimefutwa futwa, inajulikana kuwa kura hizo zitakuwa zimeharibika na hapewi mgomba yeyote, je; hii ikionekana kupunguza kura zake itakuwaje
bado mkuu hujaelewa alietoa tamko nilam2 m1 sio tume nzima ndo maana adi sasa tume haina msimamo
Baada ya tamko la mwenyekiti wa tume kikao kilikaa na kuridhia Uchaguzi kurudiwa
Sijalisoma popote pale. Wajumbe wabkamati ya uchaguzi au kikao cha nini?
Akifafanua, Fatma alisema kuwapo kwa nafasi ya moja kwa moja ya Rais wa Zanzibar kwenye Baraza la Mawaziri kunaibua mgongano inapotokea mshindi wa upande mmoja akiwa ni wa kutoka chama kingine na hiyo ni sababu mojawapo wanayoamini kuwa imechangia kufutwa kwa uchaguzi na pia kukwaza ukuaji wa demokrasia visiwani humo.
Alisema ni dhahiri hali huwa ngumu kwa baraza la mawaziri linaloundwa na watu wa itikadi ya chama kimoja kuchanganyika na mwingine mwenye itikadi tofauti, hasa katika mazingira ya kuwa na usiri katika baadhi ya mambo na kwamba, hilo huchangia kusuasua kwa maendeleo ya kidemokrasia visiwani Zanzibar.
Baraza la Mawaziri na Serikali
Baraza la Mawaziri Sheria ya 1984 Na.15 ibara 9 Sheria Na.4 ya 1992 ib?Sheria Na.34 ya 1994 ibara 12
54.-(1) Kutakuwa na Baraza la Mawaziri ambalo wajumbe wake watakuwa ni Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Rais wa
Zanzibar na Mawaziri wote.
Nami nafikiri Maalim Seif ilimbidi ajibie hizi kesi maana kiukweli zimeleta mitazamo tofauti so kwakuwa yeye anazo zile copy za matokeo ambazo alikusanya atuambie kuwa ZEC ni waongo na haweke bayana juu ya tuhuma za kuzidi wapiga kura
Hapati urais wa zanzibar hata afanye nini. Zanzibar itabaki mikononi mwa ccm, zanzibar itabaki mikononi mwa tanganyika.Na wakileta za kuleta tunatembeza kipigo. Safari hii hata umakamu haupati. Tunakula samaki mzima hapati hata mifupa.