nkuwi
JF-Expert Member
- Feb 11, 2013
- 4,988
- 5,649
1. Makamishna walivua mashati ili kutwangana makonde.
Naomba picha za hao makamishna waliovua mashati plz!
1. Makamishna walivua mashati ili kutwangana makonde.
Naomba picha za hao makamishna waliovua mashati plz!
Naam tuanzie hapo Maalimu Seif alete majibu, vinginevyo hakuna namna Uchaguzi lazima urudiwe.
kwa hali iliyopo Seif asitegemee kuongoza znz labda akubali mseto tu vinginevyo ataishia kunawa!!!
Hadi raha....tunapewa ushindi zanzibar...tunavunja muungano...rais magufuri na makamu wake wanakuwa hawana maana tena..tunarudia uchaguzi kwa tz bara ili kumpata rais wa tanganyika....then ukawa tunachukua tanganyika.... Baada ya hapo wazanzibar wanaomba muungano teno baada ya ukawa kushinda tanganyika
Nami nafikiri Maalim Seif ilimbidi ajibie hizi kesi maana kiukweli zimeleta mitazamo tofauti so kwakuwa yeye anazo zile copy za matokeo ambazo alikusanya atuambie kuwa ZEC ni waongo na haweke bayana juu ya tuhuma za kuzidi wapiga kura
Naam tuanzie hapo Maalimu Seif alete majibu, vinginevyo hakuna namna Uchaguzi lazima urudiwe.
Seif si atoe hayo makaratasi ya matokeo watu wajumlishe...............
kama hana picha achore hata sketch awekeNaomba picha za hao makamishna waliovua mashati plz!
Nami nafikiri Maalim Seif ilimbidi ajibie hizi kesi maana kiukweli zimeleta mitazamo tofauti so kwakuwa yeye anazo zile copy za matokeo ambazo alikusanya atuambie kuwa ZEC ni waongo na haweke bayana juu ya tuhuma za kuzidi wapiga kura
Maalim Seif anazo nakala za matokeo. Je; ni utaratibu mgombea mmoja wapo kupewa nakala za matokeo? Ilikuwaje yeye akawa nazo wakati ana wawakilishi? Hii haithibitishi kuwa makamishena wa ZEC waligeuka kuwa wawakilishi wa vyama vyao. Pale idadi ya kura zinazidi wapiga kura waliojiandikisha katika daftari la wpiga kura, ZEC ifanye nini aeleze Maalim Seif. Pale kura zimefutwa futwa, inajulikana kuwa kura hizo zitakuwa zimeharibika na hapewi mgomba yeyote, je; hii ikionekana kupunguza kura zake itakuwaje

STDVII naona na wewe unaleta hoja za Kijinga kabisa hapa. Ngoja nitoe ufafanuzi kidogo.
1/ZEC imetoa sababu 8 za kufuta uchaguzi, sababu zote hizo ni kijinga kabisa, zote zimetolewa majibu na Seif na pia watu mbalimbali.
Kwa kifupi hizo sababu hazina mashiko kabisa. Kwa mfano.
(A)Wajumbe wa ZEC kuvua mashati na kupigana. Hii sio sababu ya kuweza kufuta uchaguzi. Ugomvi wa wajumbe(kama kweli ulikuwepo) kamwe hauwezi kuwa ni kasoro katika uchaguzi.
(B)Mtu kujitangazia ushindi kabla ya matokeo rasmi.(Hii sio sababu ya kuufanya uchaguzi uwe na kasoro, hizo ni siasa tu)
(C)Fujo kutokea katika vituo vya kupigia kura.(Vituo vyote vilikuwa na ulinzi mkubwa sana wa askari wenye silaha, hakuna matukio ya Fujo yaliyoripotiwa na Polisi, vyombo vya habari nk. Sasa ZEC wamepata wapi hizo taarifa?).
(D)Kuwepo kwa watu waliopiga kura ambao majina yao hayakuwemo kwenye Daftari.
(Hili ndio haliwezekani kabisa, ZEC ndio wasimamizi wa kupiga kura, sasa nani aliwaruhusu hao watu wapige kura, kwanini mawakala wasilalamike katika hilo?)
(E)Idadi ya watu waliopiga kura kuzidi idadi ya waliojiandikisha.
(Huu ndio uwongo wa wazi kabisa, ZEC imeambiwa itoe matokeo yote ya vituo ili tukione hicho lakini mpaka sasa wameshindwa, CUF wametoa matokeo yote waliyokusanya kituo kwa kituo, jimbo kwa jimbo, na hiyo kasoro haipo kabisa, mpaka sasa hakuna kituo chochote ambacho vote turnout ilifika zaidi ya Asilimia 90, sasa tume wamepata wapi hayo?)
2/Hakuna kikao chochote cha ZEC kilikaa na kuamua kuufuta uchaguzi wa Zanzibar. Ni mwenyekiti mwenyewe wa ZEC aliibuka na kuufuta uchaguzi, kanuni na sheria za ZEC zinataka maamuzi yoyote ni lazima yaafikiwe kwanza na wajumbe wa ZEC wasiopungua 5 kati ya Wajumbe6. Nani kamtuma Jesha kuufuta uchaguzi wa Zanzibar?
3/ZEC imeundwa kisheria na imepewa mamlaka yake kisheria. Hakuna sheria inayoipa ZEC mamlaka ya kuufuta uchaguzi wote wa Zanzibar kwa kigezo cha kasoro, Fujo nk.
Mpaka sasa ZEC imeshindwa kusema ni sheria gani wameitumia ili kufuta uchaguzi wa Zanzibar.