kifupi kirefu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 539
- 3,507
Maalim Seif Anafanya mikutano Zanzibar kuimarisha chama na anaonekana kukubalika kila kona anayopita. Lakini pia CCM pamoja na kuongoza majimbo yote huko Zanzibar wabunge wa baraza la wawakilishi walioshinda hawakurudi tena majimboni Jambo linalokwamisha maendeleo ya wananchi.
Baraza la wawakilishi pia limekosa msisimko na hivyo kukosekana kwa waibua hoja zinazochochea maendeleo ya zenji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Baraza la wawakilishi pia limekosa msisimko na hivyo kukosekana kwa waibua hoja zinazochochea maendeleo ya zenji.
Sent using Jamii Forums mobile app