Maalim Seif azidi kuibomoa CCM Zanzibar

kifupi kirefu

JF-Expert Member
Oct 29, 2018
539
3,507
Maalim Seif Anafanya mikutano Zanzibar kuimarisha chama na anaonekana kukubalika kila kona anayopita. Lakini pia CCM pamoja na kuongoza majimbo yote huko Zanzibar wabunge wa baraza la wawakilishi walioshinda hawakurudi tena majimboni Jambo linalokwamisha maendeleo ya wananchi.

Baraza la wawakilishi pia limekosa msisimko na hivyo kukosekana kwa waibua hoja zinazochochea maendeleo ya zenji.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huku ccm na profesa uchwara wana mpango cuf saliti ipeleke jina la mgombea mwingine zanzibar.Seif awe makini bora agombee kupitia chadema au ACT
 
Back
Top Bottom