Maalim Seif ni kipenzi cha Wazanzibar toka mfumo wa vyama vingi uanze anashinda huko Zanzibar ila anafanyiwa figisu.CCM na system yote kwa ujumla wanalifahamu hilo.Nyerere kwenye uchaguzi wa mwaka 1995 alikimbilia Zanzibar usiku kwenda kutengua matokeo ambao maalim alikuwa ameshinda!Maalim Seif ana matatizo sana. Yaani anajiona yu mkamilifu na hastahili kukosolewa kwa lolote. Yaani hataki kuamini kuwa watu wamemchoka na wanataka akae pembeni na kuwapisha wengine wajaribu zari, badala yake anahamisha hoja tuamini bado anapendwa na kwamba hakusemwa yeye bali ni watawala. Maalimu aache kupotosha makusudio ya yule mama!
Ujumbe wa yule mama una maana kubwa sana sio kwa watawala, bali kwa mwenyewe Seif. Ni kielelezo kuwa wazanzibar wamechoka kutawaliwa na ccm na wamekuwa wakimpigia kura Maalim Seif (CUF) ili awaongoze lakini sasa wa.eanza kupambanukiwa kuwa wanaemchagua hayuko serious bali anawapotezea malengo yao ndio maana wanamtaka ake pembeni asiwapotezee muda.Maalim Seif ni kipenzi cha Wazanzibar toka mfumo wa vyama vingi uanze anashinda huko Zanzibar ila anafanyiwa figisu.CCM na system yote kwa ujumla wanalifahamu hilo.Nyerere kwenye uchaguzi wa mwaka 1995 alikimbilia Zanzibar usiku kwenda kutengua matokeo ambao maalim alikuwa ameshinda!
Huyu anadhambi kubwa ya usaliti hapo alipo mungu alisha mlaani ,mungu hawezi kughairi adhabu yakeMungu mbariki Maalim Seif
Kama laana unatoa wewe itakuwa kweli Maalim umeshamlaani, lakini kama laana inatoka kwa Mungu, itakuwa unapiga kelele kwa chuki zako binafsi tuHuyu anadhambi kubwa ya usaliti hapo alipo mungu alisha mlaani ,mungu hawezi kughairi adhabu yake
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
Na wewe unaamini maalim akimpisha mwingine halafu wakishinda watapewa?Asante kwa taarifa, nimefurahi kusikia feedback ya ziara za nchi mbalimbali, kumbe sababu ndio yeye...!.
Pia nimeipenda ile ya "Maalim Wapishe Wengine" na jinsi Maalim alivyoipindua!.
Huyo mama kawaeleza kitu kizuri sana maana anaonyesha anaijua siri kwanini kuna mtu huwa anashinda lakini hapewi!. Hivyo ili mpewe, " Jamaa yenu "awapishe wengine ".
P
Mkuu, hakuna AMANI bila HAKI... hizi siasa za CCM za kuwalaghai Watanzania kwa kwa jina la AMANI lakini hawawatendei haki hazina mwisho mwema kwa TanzaniaKinachoniudhi ni kwenda nje kusema sema anayoyajua yeye, je nani ata prove kwamba hasemi uongo kwa manufaa yake mwenyewe?
Usipoteshe Watanzania.
Amani yetu umejaribu kila mara kuivuruga, shindwa kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpemba mwenzangu Maalim humdanganyi mtu isipokuwa unajidanganya mwenyewe, haupo tayari kuachia hiyo nafasi ya kugombea urais labda uwe mahututi kitandani au umekufa ndio utaiachia hiyo nafasi. Mpaka mama wa kijijini kakuchoka bado hushtuki tuu mzee.
Pasco bwana,kwa hiyo waingize mtu ambaye hatashinda?Asante kwa taarifa, nimefurahi kusikia feedback ya ziara za nchi mbalimbali, kumbe sababu ndio yeye...!.
Pia nimeipenda ile ya "Maalim Wapishe Wengine" na jinsi Maalim alivyoipindua!.
Huyo mama kawaeleza kitu kizuri sana maana anaonyesha anaijua siri kwanini kuna mtu huwa anashinda lakini hapewi!. Hivyo ili mpewe, " Jamaa yenu "awapishe wengine ".
P
Kwanini aachie wakati bado anakubalika?Mpemba mwenzangu Maalim humdanganyi mtu isipokuwa unajidanganya mwenyewe, haupo tayari kuachia hiyo nafasi ya kugombea urais labda uwe mahututi kitandani au umekufa ndio utaiachia hiyo nafasi. Mpaka mama wa kijijini kakuchoka bado hushtuki tuu mzee.
Sent using Jamii Forums mobile app