Maalim seif atua Tabora kuelekea Igunga.

Maalim seif atua Tabora kuelekea Igunga.

.....................................Wanaenda kushindana na CDM na sio CCM.........
 
tatizo la chadema, wafuasi wake almost 80 percent ni mambumbu wa siasa, cheki hata comments zao, hazina hoja za msingi, mara mmeolewa na ccm, mara mkapike magamba wale, mara mafuta wamepewa, yani upuuzi mtupu, afu kibaya zaidi ni wasomi wa chuo kikuu, kweli nimeamini, artificial education is no match to natural stupidity....
 
Duh!kwa hiyo huo usafiri,malazi,ulinzi,posho n.k,ni cuf au URT/SMZ,anyway...anakwenda kwenye kampeni igungaaaa...
 
Lingine la kujiuliza umakamu wa uraisi wake unafika mpaka igembesabo au ni kwa sababu ya uchaguzi igunga ikatafutwa safari ya Tabopra makusudi?
Mwisho pesa anazotumia akifanya ziara ya kichama nani anagharamia?
Umakamu wa Rais wake haumo kwenye KATIBA yetu ya JMT. Ni uvunjaji wa wazi wa katiba hii kwa kisingizio cha muafaka!
 
Lingine la kujiuliza umakamu wa uraisi wake unafika mpaka igembesabo au ni kwa sababu ya uchaguzi igunga ikatafutwa safari ya Tabopra makusudi?
Mwisho pesa anazotumia akifanya ziara ya kichama nani anagharamia?
Swali zuri sana ngoja tusubiri majibu kutoka kwa wana JF.
 
Seif kaenda rasmi kufanya kampeni,kwa kutumia ndege yetu ya serikali ya Tanganyika,bila aibu wakati kwao pia anapata kila kitu,na watanganyika walikuwa kibao wakimshangilia kwa nguvu zao zote mpaka makoo yakawakauka,kafungua matawi ya CUF,kuna mkakati maalumu unaofanywa wala sio kampeni wamekubaliana kwamba lazima wao au CCM ndio washinde lakini watapata vibwagizo watakapoona wananchi watakavyowabwaga na kuwaacha mdomo wazi haki ya mtu haipotei
 
KAFU nao wana mambo mno .Kweli wamepoteza mwelekeo .Wao nguvu yao iko Pemba tu .
 
Inafurahisha kusikia wanawali wameelekea kwa bwana zao Igunga. CUF is nothing, but njaa tu.
 
Wapinzani kama kweli tunataka kuikomboa nchi hii toka mikononi mwa mafisadi basa hatuna budi kushiriana na kama haiwezekani basi tuachekupigana vita wenyewe kwa wenyewe. Nimesoma comment za wengi humu naona kinyaa.
Tusipoangalia CCM watatukamua mpata tutie akili. nyie endeleeni tu kulumba ccm wanatumaliza. tusiwe wajinga kiasi hiki. hebu tusapotiane na ikishindikana basi tukae kimya kwani we have a common enemy (naye ni ccm).
wakiona hizi comment zenu hapa wanafurahi sana tu.
 
Akiwa huko ataitukana/kuisema vibaya CCM inayomlipa mshahara?
 
SAMAHANI KAMA SIJAELEWA UKISEMA TUNA common enemy?KIVIPI AU UNAZUNGUMZIA TANGANYIKA?MAANA KWA TZ CCM NOT enemy WA Cuf SINA LENGO LA KUONGEZA MFARAKANO BALI KUWEKA KUMBUKUMBU VIZURI
 
Akiwa huko ataitukana/kuisema vibaya CCM inayomlipa mshahara?
<br />
<br />
Hiki nacho sasa ni kiroja. Hivi hata wewe pia unajiita Great Thinker??Sikuwa nikijuwa kama ili uwe mpinzani ni lazima uporomoshe mitusi na kusema vibaya chama kilichoshinda uchaguzi.
 
tatizo la chadema, wafuasi wake almost 80 percent ni mambumbu wa siasa, cheki hata comments zao, hazina hoja za msingi, mara mmeolewa na ccm, mara mkapike magamba wale, mara mafuta wamepewa, yani upuuzi mtupu, afu kibaya zaidi ni wasomi wa chuo kikuu, kweli nimeamini, artificial education is no match to natural stupidity....
Eeeeh! msomi wewe na hiki kidhungu! (Artificial intelligence is no match for natural stupidity)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom