CUF Ngangari
JF-Expert Member
- Aug 11, 2011
- 273
- 51

Timu ya kampeni ya cuf imeondoka leo kuelekea igunga ikiwa imesheheni makomandoo wa kisiasa wa chama hicho, wakiongea kabla ya kuondoka buguruni ofisi kuu ya chama hicho kwa msafara mkubwa wa magari zaidi ya 13, kuwa zipo timu zaidi ya tano zitakazoshambulia ardhini na timu itashambulia kutokea juu kwa helkopta, huku timu zingine zikiwa zimeishawasili mjini igunga zikitokea tabora, shinyanga, na mwanza ili kuanza mtanange wa kuligombea jimbo hilo. yetu macho na masikio.
magari 13 ni msafara mkubwa? yote kheri,kikubwa pale wakauze sera zao kinaga ubaga na c kushambulia chama kingine kama ambavyo Mtatiro alishatanabaisha.

katibu mkuu wa cuf ametua Leo mjini tabora na kupokelewa na umati mkubwa wa wakazi wa tabora mjini ambao atakuwa na Ziara ya siku nne mkoani humo na kesho kutwa ataelekea igunga na kufanya mkutano wa ndani na viongozi wa cuf mjini igunga kwa siku mbili na kurejea Dar es salaam, ambapo atarejea tarehe 1/10/2011 kufunga kampeni ambazo zitazinduliwa na Prof Ibrahim H Lipumba. mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki CUF.

Watakuwa wamepewa mafuta na CcM (A) .chadema itawabwaga wote!
katibu mkuu wa cuf ametua Leo mjini tabora na kupokelewa na umati mkubwa wa wakazi wa tabora mjini ambao atakuwa na Ziara ya siku nne mkoani humo na kesho kutwa ataelekea igunga na kufanya mkutano wa ndani na viongozi wa cuf mjini igunga kwa siku mbili na kurejea Dar es salaam, ambapo atarejea tarehe 1/10/2011 kufunga kampeni ambazo zitazinduliwa na Prof Ibrahim H Lipumba. mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki CUF.

magari 13 ni msafara mkubwa? yote kheri,kikubwa pale wakauze sera zao kinaga ubaga na c kushambulia chama kingine kama ambavyo Mtatiro alishatanabaisha.
Mkuu mimi nilisikia kwamba Makamo wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar ameanza ziara ya kuutembelea mkoa wa Tabora!! Jana aliweka mawe ya msingi katika ujenzi wa OFISI ZA SERIKALI ZA VIJIJI KADHAA!! Hivi yuko kichama ama kiserikali?