Maalim seif atua Tabora kuelekea Igunga.

CUF Ngangari

JF-Expert Member
Aug 11, 2011
273
51
katibu mkuu wa cuf ametua Leo mjini tabora na kupokelewa na umati mkubwa wa wakazi wa tabora mjini ambao atakuwa na Ziara ya siku nne mkoani humo na kesho kutwa ataelekea igunga na kufanya mkutano wa ndani na viongozi wa cuf mjini igunga kwa siku mbili na kurejea Dar es salaam, ambapo atarejea tarehe 1/10/2011 kufunga kampeni ambazo zitazinduliwa na Prof Ibrahim H Lipumba. mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki CUF.

Timu ya kampeni ya cuf imeondoka leo kuelekea igunga ikiwa imesheheni makomandoo wa kisiasa wa chama hicho, wakiongea kabla ya kuondoka buguruni ofisi kuu ya chama hicho kwa msafara mkubwa wa magari zaidi ya 13, kuwa zipo timu zaidi ya tano zitakazoshambulia ardhini na timu itashambulia kutokea juu kwa helkopta, huku timu zingine zikiwa zimeishawasili mjini igunga zikitokea tabora, shinyanga, na mwanza ili kuanza mtanange wa kuligombea jimbo hilo. yetu macho na masikio.

kazi kwao,kama katika kampeni zenu mtaishambulia CDM tutajua kweli nyinyi ni wake wa CCM

magari 13 ni msafara mkubwa? yote kheri,kikubwa pale wakauze sera zao kinaga ubaga na c kushambulia chama kingine kama ambavyo Mtatiro alishatanabaisha.

Hawana issue hao wameishaolewa sasa wanakuja kupika tu ili magamba wale washibe!

Kwanini mkutano wa Ndani ufanyike Igunga? na Je Maalimu anapata ulinzi wa vijana wa UWT?! kama anapata anategemea nini?

Nani anajuwa Wapembe na CUF kwa ujumla wamefaidika nini na Maalimu kuwa makamo wa Shein?

katibu mkuu wa cuf ametua Leo mjini tabora na kupokelewa na umati mkubwa wa wakazi wa tabora mjini ambao atakuwa na Ziara ya siku nne mkoani humo na kesho kutwa ataelekea igunga na kufanya mkutano wa ndani na viongozi wa cuf mjini igunga kwa siku mbili na kurejea Dar es salaam, ambapo atarejea tarehe 1/10/2011 kufunga kampeni ambazo zitazinduliwa na Prof Ibrahim H Lipumba. mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki CUF.

kwanini msiachie mshirika wenu ccm jimbo? Hamuoni mnahatarisha ndoa yenu?

Timu ya kampeni ya cuf imeondoka leo kuelekea igunga ikiwa imesheheni makomandoo wa kisiasa wa chama hicho, wakiongea kabla ya kuondoka buguruni ofisi kuu ya chama hicho kwa msafara mkubwa wa magari zaidi ya 13, kuwa zipo timu zaidi ya tano zitakazoshambulia ardhini na timu itashambulia kutokea juu kwa helkopta, huku timu zingine zikiwa zimeishawasili mjini igunga zikitokea tabora, shinyanga, na mwanza ili kuanza mtanange wa kuligombea jimbo hilo. yetu macho na masikio.

wabunge wote wa pemba watakuwepo?

igunga hataangaliwa yeyote yule atakaeleta siasa za maji taka, timu ya cuf ni nzuri na atajibiwa, cdm ni wachanga kisiasa mliona wenyewe mdahalo jinsi Jussa alivyowagaragaza vibaya.

katibu mkuu wa cuf ametua Leo mjini tabora na kupokelewa na umati mkubwa wa wakazi wa tabora mjini ambao atakuwa na Ziara ya siku nne mkoani humo na kesho kutwa ataelekea igunga na kufanya mkutano wa ndani na viongozi wa cuf mjini igunga kwa siku mbili na kurejea Dar es salaam, ambapo atarejea tarehe 1/10/2011 kufunga kampeni ambazo zitazinduliwa na Prof Ibrahim H Lipumba. mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki CUF.

Mkuu mimi nilisikia kwamba Makamo wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar ameanza ziara ya kuutembelea mkoa wa Tabora!! Jana aliweka mawe ya msingi katika ujenzi wa OFISI ZA SERIKALI ZA VIJIJI KADHAA!! Hivi yuko kichama ama kiserikali?

maalim seif atakuwa ziarani huko TABORA kufungua matawi ya CCM nyote mnakaribishwa

Najua kikwete angetamani nchi aiache mikonononi mwa cuf lakini litamwangusha , 'Nenda msaliti wa wazanzibar ,nenda,nenda,nenda Maalim

Mkuu mimi nilisikia kwamba Makamo wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar ameanza ziara ya kuutembelea mkoa wa Tabora!! Jana aliweka mawe ya msingi katika ujenzi wa OFISI ZA SERIKALI ZA VIJIJI KADHAA!! Hivi yuko kichama ama kiserikali?

Lingine la kujiuliza umakamu wa uraisi wake unafika mpaka igembesabo au ni kwa sababu ya uchaguzi igunga ikatafutwa safari ya Tabopra makusudi?
Mwisho pesa anazotumia akifanya ziara ya kichama nani anagharamia?

sisiem b na wenyewe wana mambo yaani bado na wenyewe wanajiita wapinzani sijui wapinzani wa nani labda wanaipinga CDM, sitashangaa kuona wanaungana na waume zao sisiem a.....CDM inawaumiza wote na watondoka kwa aibu huko igunga!

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom