CUF Ngangari
JF-Expert Member
- Aug 11, 2011
- 273
- 51
katibu mkuu wa cuf ametua Leo mjini tabora na kupokelewa na umati mkubwa wa wakazi wa tabora mjini ambao atakuwa na Ziara ya siku nne mkoani humo na kesho kutwa ataelekea igunga na kufanya mkutano wa ndani na viongozi wa cuf mjini igunga kwa siku mbili na kurejea Dar es salaam, ambapo atarejea tarehe 1/10/2011 kufunga kampeni ambazo zitazinduliwa na Prof Ibrahim H Lipumba. mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki CUF.