Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,014
- 9,883
Bia yangu kwn Husseni Mwinyi yuko Act wazalendo??Huyu babu kikongwe atagombea hadi akiwa kaburini,kwa nini asimuachie Hussain Mwinyi damu changa kipenzi cha wazanzibari
Maalim kwa muda wa miaka yote kweli umeshindwa kumuandaa mtu mwingine kuchukua nafasi yako,miaka yote ni wewe tu,ina maana wazanzibar hawana mtu mwingine wa kumkubali hadi wakukubali wewe tu kuwa mgombea wao kwa miaka nenda rudi,jua siasa ni kama jeshi, kamanda mmoja akifeli mbinu anarudi nyuma na kuacha mwingine aje na mbinu mpya za kushinda vita,wewe umeshafeli achia wengine.
Hii ni ishara hata siku ukiipta hii nafasi hautoiacha, toka enzi za Mkapa mgombea ni wewe tu,badilika sasa,waachie wengine.
Hii ndio mara yake ya mwanzo mbona kugombea ndani ya ACT. Tokea 1995 hio vipi wakati chama chenyewe kimeanzishwa 2015.Ni wakati sasa wa kuandaa vijana wengine toka 1995 jina ni lile lile
Kama anashinda na hatangazwi, kilichobadilika ni kitu gani?Mbona miaka yote maalim anashinda.
Tatizo jechalism
Mh. Seif asipoteze muda, kamwe hatokuja kuwa rais wa Zanzibar ktk maisha yake! Awaachie wengine wagombee, yaani yeye kagombea sasa ni zaidi ya miongo kazaa, aache tamaa, anapoteza muda kabisa.Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo, Maalim Seif Hamad ametangaza kugombea Urais Visiwani Zanzibar kupitia chama chake cha ACT-Wazalendo. Atachukua fomu ya kugombea urais Tarehe 4 mwezi Julai
Amewaomba wazanzibari kumkubali kama walivyofanya kwa chaguzi zilizopita kwa kuongeza idadi ya wanaompigia kura kila uchaguzi mpya tangu mwaka 1995
Amesema walifanya tafiti kuona kama wazanzibar kama bado wanamkubali na tafiti hiyo ilionyesha kuwa bado anakubalika ndani ya Zanzibar
Amedai tafiti waliyofanya ilionyesha kuwa, kuna wazanzibari waliahidi kutopiga kura kama asipopewa turufu ya chama kugombea urais Zanzibar
Muuza nchi na msaliti, muongo muongo na mchonganishi wa muungano nani amtangaze kuwa rais?? Hizo kura za kumtangaza kuwa mshindi zitatoka wapi???? Mtu ambaye amekuwa brainwashed na kazi yake ni kubrain wash wazanzibar apewe nchi??? Kwa ufupi Mh. Seif hawezi na haitakuja kutokea kura kutosha maana wazanzibar hawamtaki kabisa kabisa, tena safari hii atapata kura kiduchu zaidi ya za last time. Awaachie vijana wagombeeKama anashinda na hatangazwi, kilichobadilika ni kitu gani?
Ya Malawi umeyasikia lakini?Atagombea hadi apoteze uwezo wa kutembea hatakuwa Rais wa Zanzibar yeye na wanaofanana nao mawazo
Kwanini umpangie?Huyu babu kikongwe atagombea hadi akiwa kaburini,kwa nini asimuachie Hussain Mwinyi damu changa kipenzi cha wazanzibari
Ya Malawi umeyasikia lakini?