wewe unasema nini unaropoka au ?Seif aligoma hata kung'oka kutoka ofisini kwa kisingizio cha kulinda maslahi ya CUF serikalini. kumbe usanii mtupu. atalindaje maslahi kwa kugomea kugombea?? angalau angegombea akaambulia umakamu wa rais hapo angeendelea kulinda maslahi yao. sasa hivi kapotea na kapotea kweli. CUF kwishney.!Maalim hahitaji huo ulinzi wa kinafki huku mgongoni wanampiga mkuki.