kivava
JF-Expert Member
- Apr 2, 2013
- 5,772
- 4,930
...lice? Simooopo.lice po.lice po.lice...teh teh teh!!

Kwa barua hii kina sultan kesho watapokea virungu.Hii barua umeipata?
![]()
Childish thoughtfulMimi naona amefanya vizuri ili polisi iliomsindikiza Haruna ikamwondoe mtu wao vinginevyo kukitokea uvunjifu wa amani jeshi la polisi litabeba lawama
Nyie bavcha mbona mnawashobokea sana kafu , ,,Tar.30 Septemba 2016
Muda: 08 am
Movie: "Le Professeri Uchwara"
Starling: Maalim Seif
Kaka Jambadhi: Lipumba a.k.a Kinyonga
Venue: Buguruni beiby
HAINAGA KIINGILIO BABAAKE....
Sio lazima uje!
Onesha vifungu vya katiba ya CUF vilivyohalalisha vikao hivyo.Akamalizane na msajili uliambiwa wanadaiana,vikao halali vya chama vinajulikana,na vikao vya wahuni pia vinajulikana,muhuni aliendoka kwa hiari yake Leo anataka kurudi kwa kutumia uhuni wake alafu eti aachwe kwa lipi.
KATIBU Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, ametua ofisini kwa kiongozi mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Ernest Mangu, ili kumueleza mkakati wake wa kutua ofisini kwake, Buguruni jijini Dar es Salaam.
Maalim anakwenda kwa IGP Mangu kumueleza adhima yake ya kufika ofisi kuu ya chama chake kesho Ijumaa, majira ya saa mbili asubuhi.
Hatua ya Maalim kutinga ofisini kwa IGP imetokana na kitendo cha jeshi la polisi kumsindikiza Prof. Lipumba kurejea ofisini; kusaidia uharibifu wa mali na kushambulia wanachama na wafuasi wa chama hicho.
Azma yake ya kwenda ofisini kwake kesho, inatokana na ofisi hiyo kuvamiwa na aliyepata kuwa mwenyekiti wa chama hicho, Prof. Ibrahim Lipumba na genge la wafuasi wake.
Prof. Lipumba aliyejiuzulu uenyekiti wa CUF, 6 Agosti mwaka jana na miezi 11 baadaye akatangaza kurejea katika nafasi yake, amefukuzwa rasmi uanachama wa chama hicho Jumanne iliyopita na Baraza Kuu la uongozi la Taifa (BKT), lililokutana Visiwani.
Hata hivyo, Prof. Lipumba, ameendelea kung’ang’ania kuwa bado mwenyekiti halali wa chama hicho na msimamo wake huo, unadaiwa kuungwa mkono na msajili wa vyama vya siasa nchini, Jaji Francis Mutungi.
Taarifa zilizopatikana kutoka kwa watu waliokaribu na Maalim Seif zinasema, kiongozi huyo amekwenda kwa IGP Mangu kumtaarifu kuwa yeye na wabunge wa chama hicho, wamepanga kufika Buguruni kwa pamoja.
Anasema, “Maalim Seif anakwenda kumweleza IGP Mangu kwamba, tayari kumekuwepo na viashiria vya uvunjifu wa amani vinavyofanywa na watu wa Prof. Lipumba na kwamba chochote kitakachotokea, yeye na jeshi lake, wanapaswa kubeba msalaba.”
Prof. Lipumba alijiuzulu uenyekiti karibu na uchaguzi mkuu mwaka jana, akakimbilia nje ya nchi huku akidai hakufurahishwa na Edward Lowassa kuwa mgombea urais chini ya mwavuli wa vyama vinne ikiwamo CUF.
Ukawa unaundwa na vyama vinne; Chadema, CUF, NCCR-Mageuzi na National League for Democrats (NLD).
Hii ni mara ya pili tangu mfumo wa vyama vingi urejee nchini, kukumbwa na “mbegu mbaya” ndani yake.
Mara ya kwanza ilikuwa pale Augustine Mrema, akiwa mwenyekiti, alipojiapiza kufukuza wanachama thabiti ndani ya NCCR-Mageuzi. Alishindwa. Alifukuzwa mwenyewe.
Chanzo: Mwanahalisi
Tupe na historia ya NCCR mageuzi ya UKAWA, ina miaka mingapi na ina wabunge wangapi?Kweli kaijenga CUF bara maana miaka 20 ya uongozi wake hakuwahipo kupata zaidi ya wabunge wawili bara.
Wacha zaidi ya wabunge wawili!!!! Hakuwahipo kupata hata diwani mmoja mkoa aliozaliwa.
Bila ya juhudi za wapemba kuipatia wabunge basi katu CUF isingefikia hapo ilipo sasa.
Wapemba wakiisusa leo CUF basi itakufa na kubakia jina kama vile TLP na vyama vyengine vilivyobakia jina tu.
Makao makuu si nimeambiwa yapo Zanzibar......na hukumu zote zilifanyika huko.NEW....
KATIBU Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, ametua ofisini kwa kiongozi mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Ernest Mangu, ili kumueleza mkakati wake wa kutua ofisini kwake, Buguruni jijini Dar es Salaam.
Maalim anakwenda kwa IGP Mangu kumueleza adhima yake ya kufika ofisi kuu ya chama chake kesho Ijumaa, majira ya saa mbili asubuhi.
Hatua ya Maalim kutinga ofisini kwa IGP imetokana na kitendo cha jeshi la polisi kumsindikiza Prof. Lipumba kurejea ofisini; kusaidia uharibifu wa mali na kushambulia wanachama na wafuasi wa chama hicho.
Azma yake ya kwenda ofisini kwake kesho, inatokana na ofisi hiyo kuvamiwa na aliyepata kuwa mwenyekiti wa chama hicho, Prof. Ibrahim Lipumba na genge la wafuasi wake.
Prof. Lipumba aliyejiuzulu uenyekiti wa CUF, 6 Agosti mwaka jana na miezi 11 baadaye akatangaza kurejea katika nafasi yake, amefukuzwa rasmi uanachama wa chama hicho Jumanne iliyopita na Baraza Kuu la uongozi la Taifa (BKT), lililokutana Visiwani.
Hata hivyo, Prof. Lipumba, ameendelea kung’ang’ania kuwa bado mwenyekiti halali wa chama hicho na msimamo wake huo, unadaiwa kuungwa mkono na msajili wa vyama vya siasa nchini, Jaji Francis Mutungi.
Taarifa zilizopatikana kutoka kwa watu waliokaribu na Maalim Seif zinasema, kiongozi huyo amekwenda kwa IGP Mangu kumtaarifu kuwa yeye na wabunge wa chama hicho, wamepanga kufika Buguruni kwa pamoja.
Anasema, “Maalim Seif anakwenda kumweleza IGP Mangu kwamba, tayari kumekuwepo na viashiria vya uvunjifu wa amani vinavyofanywa na watu wa Prof. Lipumba na kwamba chochote kitakachotokea, yeye na jeshi lake, wanapaswa kubeba msalaba.”
Prof. Lipumba alijiuzulu uenyekiti karibu na uchaguzi mkuu mwaka jana, akakimbilia nje ya nchi huku akidai hakufurahishwa na Edward Lowassa kuwa mgombea urais chini ya mwavuli wa vyama vinne ikiwamo CUF.
Ukawa unaundwa na vyama vinne; Chadema, CUF, NCCR-Mageuzi na National League for Democrats (NLD).
Hii ni mara ya pili tangu mfumo wa vyama vingi urejee nchini, kukumbwa na “mbegu mbaya” ndani yake.
Mara ya kwanza ilikuwa pale Augustine Mrema, akiwa mwenyekiti, alipojiapiza kufukuza wanachama thabiti ndani ya NCCR-Mageuzi. Alishindwa. Alifukuzwa mwenyewe.
Chanzo: Mwanahalisi

Why?! I don't understand you!Childish thoughtful
Wewe ni mtanzania au foreigner??Tunaomba Ufafanue Kauli yako. Ni kwa vipi polisi wanatumika? wanatumika katika mambo/masuala gani na wanatumiwa na nani na kwa faida ya nani? Nomba ufafanue ili nikuelewe maana umesema "polisi wanatumika"..
Kama ni mimi Mangu namsweka ndani hapo hapo. Kikso huitishwa ba kusimamiwa na Mwenyekiti na hufanyika majao makuu. Hiki cha Seif ni nini kama si uchochezi? Hataki Muungano, anatafuta nini huku? Anaongelea wabunge, wabunge wepi hawo huko alishawafukuza wote weysi pamoja na Lipumba? Anataka Mkataba, si afanye mkataba na Oman? UKAWA wanataka serikali 3 yeye anataka Mkataba, kwa nini walimsapoti Lowassa wakati wanajua hataki Mkataba?KATIBU Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, ametua ofisini kwa kiongozi mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Ernest Mangu, ili kumueleza mkakati wake wa kutua ofisini kwake, Buguruni jijini Dar es Salaam.
Maalim anakwenda kwa IGP Mangu kumueleza adhima yake ya kufika ofisi kuu ya chama chake kesho Ijumaa, majira ya saa mbili asubuhi.
Hatua ya Maalim kutinga ofisini kwa IGP imetokana na kitendo cha jeshi la polisi kumsindikiza Prof. Lipumba kurejea ofisini; kusaidia uharibifu wa mali na kushambulia wanachama na wafuasi wa chama hicho.
Azma yake ya kwenda ofisini kwake kesho, inatokana na ofisi hiyo kuvamiwa na aliyepata kuwa mwenyekiti wa chama hicho, Prof. Ibrahim Lipumba na genge la wafuasi wake.
Prof. Lipumba aliyejiuzulu uenyekiti wa CUF, 6 Agosti mwaka jana na miezi 11 baadaye akatangaza kurejea katika nafasi yake, amefukuzwa rasmi uanachama wa chama hicho Jumanne iliyopita na Baraza Kuu la uongozi la Taifa (BKT), lililokutana Visiwani.
Hata hivyo, Prof. Lipumba, ameendelea kung’ang’ania kuwa bado mwenyekiti halali wa chama hicho na msimamo wake huo, unadaiwa kuungwa mkono na msajili wa vyama vya siasa nchini, Jaji Francis Mutungi.
Taarifa zilizopatikana kutoka kwa watu waliokaribu na Maalim Seif zinasema, kiongozi huyo amekwenda kwa IGP Mangu kumtaarifu kuwa yeye na wabunge wa chama hicho, wamepanga kufika Buguruni kwa pamoja.
Anasema, “Maalim Seif anakwenda kumweleza IGP Mangu kwamba, tayari kumekuwepo na viashiria vya uvunjifu wa amani vinavyofanywa na watu wa Prof. Lipumba na kwamba chochote kitakachotokea, yeye na jeshi lake, wanapaswa kubeba msalaba.”
Prof. Lipumba alijiuzulu uenyekiti karibu na uchaguzi mkuu mwaka jana, akakimbilia nje ya nchi huku akidai hakufurahishwa na Edward Lowassa kuwa mgombea urais chini ya mwavuli wa vyama vinne ikiwamo CUF.
Ukawa unaundwa na vyama vinne; Chadema, CUF, NCCR-Mageuzi na National League for Democrats (NLD).
Hii ni mara ya pili tangu mfumo wa vyama vingi urejee nchini, kukumbwa na “mbegu mbaya” ndani yake.
Mara ya kwanza ilikuwa pale Augustine Mrema, akiwa mwenyekiti, alipojiapiza kufukuza wanachama thabiti ndani ya NCCR-Mageuzi. Alishindwa. Alifukuzwa mwenyewe.
Chanzo: Mwanahalisi
KATIBU Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, ametua ofisini kwa kiongozi mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Ernest Mangu, ili kumueleza mkakati wake wa kutua ofisini kwake, Buguruni jijini Dar es Salaam.
Maalim anakwenda kwa IGP Mangu kumueleza adhima yake ya kufika ofisi kuu ya chama chake kesho Ijumaa, majira ya saa mbili asubuhi.
Hatua ya Maalim kutinga ofisini kwa IGP imetokana na kitendo cha jeshi la polisi kumsindikiza Prof. Lipumba kurejea ofisini; kusaidia uharibifu wa mali na kushambulia wanachama na wafuasi wa chama hicho.
Azma yake ya kwenda ofisini kwake kesho, inatokana na ofisi hiyo kuvamiwa na aliyepata kuwa mwenyekiti wa chama hicho, Prof. Ibrahim Lipumba na genge la wafuasi wake.
Prof. Lipumba aliyejiuzulu uenyekiti wa CUF, 6 Agosti mwaka jana na miezi 11 baadaye akatangaza kurejea katika nafasi yake, amefukuzwa rasmi uanachama wa chama hicho Jumanne iliyopita na Baraza Kuu la uongozi la Taifa (BKT), lililokutana Visiwani.
Hata hivyo, Prof. Lipumba, ameendelea kung’ang’ania kuwa bado mwenyekiti halali wa chama hicho na msimamo wake huo, unadaiwa kuungwa mkono na msajili wa vyama vya siasa nchini, Jaji Francis Mutungi.
Taarifa zilizopatikana kutoka kwa watu waliokaribu na Maalim Seif zinasema, kiongozi huyo amekwenda kwa IGP Mangu kumtaarifu kuwa yeye na wabunge wa chama hicho, wamepanga kufika Buguruni kwa pamoja.
Anasema, “Maalim Seif anakwenda kumweleza IGP Mangu kwamba, tayari kumekuwepo na viashiria vya uvunjifu wa amani vinavyofanywa na watu wa Prof. Lipumba na kwamba chochote kitakachotokea, yeye na jeshi lake, wanapaswa kubeba msalaba.”
Prof. Lipumba alijiuzulu uenyekiti karibu na uchaguzi mkuu mwaka jana, akakimbilia nje ya nchi huku akidai hakufurahishwa na Edward Lowassa kuwa mgombea urais chini ya mwavuli wa vyama vinne ikiwamo CUF.
Ukawa unaundwa na vyama vinne; Chadema, CUF, NCCR-Mageuzi na National League for Democrats (NLD).
Hii ni mara ya pili tangu mfumo wa vyama vingi urejee nchini, kukumbwa na “mbegu mbaya” ndani yake.
Mara ya kwanza ilikuwa pale Augustine Mrema, akiwa mwenyekiti, alipojiapiza kufukuza wanachama thabiti ndani ya NCCR-Mageuzi. Alishindwa. Alifukuzwa mwenyewe.
Chanzo: Mwanahalisi
Mimi ni Mtanzania ila pengine wewe ni mtanzania BORA ZAIDI maana badala ya kujibu swali unauliza uraia. Kwa Mara Nyingine, Tunaomba Ufafanue Kauli yako. Ni kwa vipi polisi wanatumika? wanatumika katika mambo/masuala gani na wanatumiwa na nani na kwa faida ya nani? Nomba ufafanue ili nikuelewe maana umesema "polisi wanatumika"..Wewe ni mtanzania au foreigner??
Kwa Mujibu wa Sheria, Polisi ni chombo huru cha dola ambacho kazi yangu ni kuhakikisha Usalama wa Raia na Mali Zake. Je, Unaweza Kutufafanulia Kauli yako, ni kwa vipi polisi ni tawi na ccm?Polisi ni tawi la CCM wanapokeya maagizo kutoka CCM