kitofio
Senior Member
- Oct 4, 2013
- 121
- 32
Mbona hakwenda polisi kukana kuwa wale ndugu zangu waki zanzibari waliokamatwa na silaha ambapo wamedai kuwa wametumwa kuja kuongeza ulinzi ofisini kuwa hawakutumwa na uongozi??????
Taja majina mawili ya hapo ndugu zako walokamatwa na polisi