Maalim Seif amvaa IGP

Maalim Seif amvaa IGP

Baraza Kuu linauwezo wa kumtimua Uanachama Mwenyekiti?
 
Seif shariff Hamad Alitakiwa aende peke yake kama katibu mkuu akiwa amebeba makbrasha ya taarifa kumpelekea mheshimiwa mwenyekiti wa CUF taifa mheshimiwa Lipumba.Sasa yeye anasema atakwenda na baraza kuu zima,wabunge,madiwani,wana CUF!!! ebo.Yeye na hilo kundi lake ndio wanaenda leta vurugu kwenye ofisi ya mheshimiwa mwenyekiti wa CUF.Kama kamwita Seif katibu mkuu ofisini hao wengine kinachowapeleka ofisi ya buguruni ni nini? Si wanataka kumfanyia vurugu tu mheshimiwa mwenyekiti wao? Polisi inabidi wamsaidie Lipumba DHIDI YA HILI GENGE LINALOTAKA KWENDA KUFANYA VURUGU BUGURUNI.
Maalim anatakiwa amwombe radhi m/kiti wake mapema kabla hajasimamishwa kwa kuchelewesha taarifa kwa kauli ya HAPA KAZI TU ni ya serikali ambapo ndani yake wote tunajisalimisha.
 
Mimi naona amefanya vizuri ili polisi iliomsindikiza Haruna ikamwondoe mtu wao vinginevyo kukitokea uvunjifu wa amani jeshi la polisi litabeba lawama
 
Hii barua umeipata?
14470616_10210251063811509_6260259026217653658_n.jpg
Hii nchi Ina mambo!
 
Polisi should wake up and do the right thing, na wao waache kutumika.
Tunaomba Ufafanue Kauli yako. Ni kwa vipi polisi wanatumika? wanatumika katika mambo/masuala gani na wanatumiwa na nani na kwa faida ya nani? Nomba ufafanue ili nikuelewe maana umesema "polisi wanatumika"..
 
"NCHI IMEKOSA MUELEKEO NA KUENDESHWA KISIASA"JAJI MSTAAFU/WAZIRI MKUU WARIOBA. DISCUSS
 
Namimi nitakuwapo kwenye huo msafara, Limpumba asituharibie upinzani kwa tamaa zake.
 
Back
Top Bottom