Maalim Sef na Bw. Karumee

mikatabafeki

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
12,771
4,647
Nimeona taarifa ya habari jioni hii itvv ikimuonyesha maalim sef akizungumzia hali ya kisiasa zenji na kuwasihi wananchi wawe na subira huku akieleza kuwa suala hilo lipo chini ya katiba na wao wananchi.
Kilichonifanya nilete uzi huu ni ukaribu wa maalim na Karumee wakiwa bega kwa bega na mzee Moyo akiwa pembeni wakiwa pembeni wakati maalim akizungumza hayo.

Tna imani suala hili litaisha kwa amani.
 
Pia pembeni alikuwepo bingwa wa uchumi Tanzania Professa Ibrahim Lipumba.

Maalim amesisitiza suluhi yeyote ile ambayo inatafutwa Zanzibar basi ni suluhu ambayo inazingatia SHERIA NA KANUNI zilizomo ndani ya katiba ya Zanzibar na msingi wa suluhu hiyo ni kuheshimu maamuzi ya wananchi waliyoyafanya october 25 2015 kupitia sanduku la kura

Na akawataka wazanzibar kutochokozeka na kuwadharau wale wote ambao huibuka na kauli za kichokozi chokozi.
 
Ngoja tusubiri tuone mkuu
 
Watu wengi tunaimbea amani zanzibar ika wako baadhi ya viongozi wanataka watu wafarakane iki waendelee kula nchi .mungu yupo hana haraka na aedhi wanayoipenda zaidi muda si mrefu itakwenda kuwabana
 
Back
Top Bottom